Athari kwa mtoto kwa kutonyonya maziwa ya mama ni zipi?

Athari kwa mtoto kwa kutonyonya maziwa ya mama ni zipi?

under_score

Senior Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
190
Reaction score
45
Habari waungwana.

Nimekutana na uzi ukitembea jukwaa flani juu ya mada inayofanana na hii, basi nikaona niulize swali langu linalonitatiza kwa muda mrefu kama linavyosoomeka hapo juu nikiamiani jukwaa la JF Doctor ni kisima cha maarifa kuhusiana na maswala yote yanayohusiana na afya.

Natanguliza shukrani zangu za kabla.

Asanteni.




hususi
 
Back
Top Bottom