M mohamedn Member Joined Feb 19, 2009 Posts 54 Reaction score 37 Jul 3, 2011 #1 Kwa kweli matumizi ya hizi 'energy saver bulbs' kwa sasa ni makubwa na watu wengi sana wanazitumia hizi bulbs. Kwa tahadhari tuwe waangalifu sana mara inapopasuka maana madhara yake ni mabaya sana (kama inavyoonekana katika attachments nilizoweka) View attachment Health & Safety Warning - energy saving bulbs_2.pdfView attachment Mercury Exposure.pdf
Kwa kweli matumizi ya hizi 'energy saver bulbs' kwa sasa ni makubwa na watu wengi sana wanazitumia hizi bulbs. Kwa tahadhari tuwe waangalifu sana mara inapopasuka maana madhara yake ni mabaya sana (kama inavyoonekana katika attachments nilizoweka) View attachment Health & Safety Warning - energy saving bulbs_2.pdfView attachment Mercury Exposure.pdf
wende JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 714 Reaction score 66 Jul 3, 2011 #2 yeah,kuna Energy savers fulani za kichina kubwakubwa ivi ni balaa. Zinaburst kama bomu!
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,361 Reaction score 2,378 Jul 3, 2011 #3 zebaki ni hatari sana.ingefaa kama wangeweka japo warning notice watu wachukue tahadhari
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Jul 3, 2011 #4 Dunia ya sasa kila kitu kina madhara mungu tuu anatulinda