Athari mbaya 'energy saver bulbs' zinapopasuka

Athari mbaya 'energy saver bulbs' zinapopasuka

yeah,kuna Energy savers fulani za kichina kubwakubwa ivi ni balaa. Zinaburst kama bomu!
 
zebaki ni hatari sana.ingefaa kama wangeweka japo warning notice watu wachukue tahadhari
 
Dunia ya sasa kila kitu kina madhara mungu tuu anatulinda
 
Back
Top Bottom