road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Unategemea mataga wawe serious!?? Wana dhiki mpaka kwenye sehemu za haja kubwa ila wanajikaza kisabuniWatanzania tujifunze kuwa serious kwenye vitu serious, tuwe na mipaka ya kufanya masihara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unategemea mataga wawe serious!?? Wana dhiki mpaka kwenye sehemu za haja kubwa ila wanajikaza kisabuniWatanzania tujifunze kuwa serious kwenye vitu serious, tuwe na mipaka ya kufanya masihara
Ni changamoto sana nduguVumilia tu mkuu humu ndani watoto wapo pia
UtajijuRip jpm kwel uliwasaidia wanyonge!huyu mama anayesapoti kampeni za kibepali hata xtak kumxkia, hata iweje kura yangu hajikuipata ng'o