Athari ya nyota katika maisha ya binadamu

Athari ya nyota katika maisha ya binadamu

Babylon haiwezi vipi kukaliwa na watu. Babylon is just that Baghdad ilikuwa imejengwa very close to modern day Baghdad. It was destroyed by the Persians,,nadhani. Kwa nini? Kwa sababu,Wapersia walikopa hela Babylon,wakashindwa kuzilipa. Kwa hiyo wakaishambulia Babylon ili wasilazimike kulipa madeni. Halafu hadithi inaendelea,Wagiriki wakashindwa kulipa madeni ya Persians,wakaivamia Persia. Mambo ya riba hayo,na yote yametoka Babylon. Warumi wakashindwa kulipa madeni ya Wagiriki,wakawashambuliaWagiriki.
 
Sawa,lakini hayo mambo yamewekwa kingereza kwa ajili ni paste and copy. Ni bora yaandikwe kingereza halafu yajadiliwe kiswahili. Kwa sababu hata katika Ratio Studiorum,kile kitabu cha Jesuits, wanapojadili rules for the professor of philosophy,wanasema kabla ya kuijibu argument,kwanza you have restate it.
 
cc: Kiranga ati umtegemee Mungu.
Kutegemea mungu kwenyewe ni "unajimu".

Halafu mtu anakandya "unajimu" mmoja kwa "unajimu" mwingine.

Ni kama vile muamini uchawi wa dini anavyolaani uchawi wa tunguli.

Deep down both are irrational faiths in the nonexistent supernatural.

Lakini watu washakunywa maji ya dini sana hata uwaambie vipi kwamba mungu hayupo hawawezi au hawataki kuamini.
 
Sawa,lakini hayo mambo yamewekwa kingereza kwa ajili ni paste and copy. Ni bora yaandikwe kingereza halafu yajadiliwe kiswahili. Kwa sababu hata katika Ratio Studiorum,kile kitabu cha Jesuits, wanapojadili rules for the professor of philosophy,wanasema kabla ya kuijibu argument,kwanza you have restate it.

Hahaaa,

Mkuu kama hapa JF tungefuata hiyo kanuni ya "kabla ya kujibu argument you have to restate it" kuna watu wengi sana nabishana nao kuhusu the existence of god wangeshindwa.

Maana wanabishana hoja ambayo clearly hawawezi kui restate with articulate logic.
 
Zipo nyota saba.
1.Kwanza ni jua. Hii ndiyo 7th plane of absract spiritual conciousness. The sun gives life and it causes life to flourish.

2.Ya pili ni Jupiter. This is the 6th plane of spiritual conciousness. Jupiter is jovial.the opposite of a serious temperament. Jupiter people are benevolent and kind.

3.Ya tatu ni Mercury.This is the 5th plane of abstract mind. Mercury makes people sharp-witted and jumpy,it leads to astute business deals. Every one knows what is meant by a ""Metcurilal"" personality.""Mercury"",the messenger of the Gods controls this planet which gives good memory.

4.Ya nne Saturn.This deals with solid conciousness. Saturn people dwell upon things,often the oppisite to the jovial temperament.Saturn people are limited,restricted,stern.People who have an overabundance of this sign have to get patience and stability.

5.Ya tano Venus. This is the 3rd plane of abstract emotions. Venus is the Goddess of love.It is a mildly benevolent planet. It makes people have higher ideals and emotions.It causes people to develop personalities and individuality. Venus people can be beautiful people unless they are associated with ""malefics""

6.Ya sita Mars. Martial,warlike,energiser. It can be a mildly bad effect planet,if its powers are not correctly used. Mars dominates the physical body,and frequently,sex desires. If correctly used Mars increases the conciousness,and ibcreases courage,strenght and endurance.

7. Ya saba The Moon. It has an extreme effect on human life. It causes the tides to rise and fall,not merely at sea,but also in the human body. Think of a woman's 'tide' every month,think of the word 'lunatic'from 'luna'-the Moon.

The Moon has no light of her own,she reflects only that which is shone upon her,thus a person who has too much Moon influence has no great petsonality of his own,he merely reflects the views and opinions of those around him.

Cassius:
"The fault, dear Brutus, is not in our stars,
But in ourselves, that we are underlings."


Julius Caesar (I, ii, 140-141) - William Shakespeare

First thing first.

How do you define "nyota"?

Is this purely from an astrological point? I do not put much stock in astrology. I would rather deal with astronomy. Just as I would toss alchemy for chemistry.

Why cling to astrology at all?

From a scientific point of view, you have lumped together an actual star (the sun) with planets and a moon.

It seems like you are moving backwards from the current wealth of scientific knowledge in more ways than one.
 
Mi nafikiri kama mtu unaamua kuweka thread iwe ya kingereza iwe ya kingereza kama ya kiswahil iwe ya kiswahili..bora ulipotaja namba ungetaja kwa kingereza then maelezo yawe ya kiswahili..
Lol[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu, kuna wanafunzi huku washafunzwa kuwa nyota nini? Na sifa zake.

Kuna wanafunzi wamefunzwa sayari nini?! Na sifa zake,

Kuna wanafunzi wamefunzwa mwezi ni nini? Na unasifa gani?!

Mkuu jaribu kufafanua tusije felisha hawa wanafunzi kwa ajili yako.

Usisahau references.

Alamsiki
 
Lobsang Rampa aliyeandika hii credentials zake ni impeccable. Hapa kwa mfano anaelezea mpangilio wa nyota atakapozaliwa Masiha mpya,anayekuja baada ya Yesu,Masiha ambaye nadhani ameshazaliwa tayari. Kama wewe ni mnajimu,labda unaweza kuelewa kitu hapo. Mimi nimetoka kapa.
Yet further into the East a small group of old Astrologers-like the Three Wise Men of old-consulted the stars and marvelled at what they saw. 'Here', said the eldest,pointing a gnarled finger at the chart,'the Sun,the Moon,and Jupiter will conjoin under the Pushya star which will then be in the Sign of Cancer. It shall be in the second or third new Moon'.' Gravely they looked at each other,and bent again to check and recheck their figures. Obtaining the hoped-for confirmation,they called in responsible men,messegers-
 
Hiyo kuhusu Masiha iko chapter one,ukurasa wa 12,Chapters of Life by Lobsang Rampa. Kitabu hicho hicho,Chapters of Life,chapter ten,ukurasa wa 176-178 yapo yale mambo niliyoandika kwanza. Mtu anayefanya mtihani lazima aandike analotaka kuona mwalimu ili apasi mtihani. Lakini ukweli wenyewe ndio huu. Anayepingana na Lobsang Rampa amekosea. Kama Lobsang Rampa anasema Saturn inawafanya watu wanakuwa very serious,halafu mtu mwingine anasema vingine,huyo amekosea.
 
Mimi siyo mwanafunzi wa astrology. Haya mambo niliyoandika hapa is all I know about astrology. Lakini ukisoma Aenead na Illiad utaona wanayo dini based on astrology. Aennead na Illiad ni misahafu ya Warumi na Wagiriki respectively. Kwa hiyo Greek civilation and Roman civilization were all set up dependent on astrology. Nayo ndiyo basis of Western civilization,na civilization yetu ya Tanzania sasa hivi. Yaani roman general alikuwa anakwenda kwa mnajimu kupata ushauri;naenda vitani,nitashinda? Anaambiwa utashinda,nenda kapigane. Au anaambiwa utashinda,lakini usiende vitani leo,nenda baada ya wiki mbili. Kwa hiyo wazugu ambao unafikiria they will not stoop to believe in astrology,ndio wenyewe wameivumbua.
Umeeleza vizuri andrew. Watu wanadhani wazungu wamestaaribika hawaamini nyota. Kumbe ndio waasisi wa haya mambo.
 
N
Cassius:
"The fault, dear Brutus, is not in our stars,
But in ourselves, that we are underlings."


Julius Caesar (I, ii, 140-141) - William Shakespeare

First thing first.

How do you define "nyota"?

Is this purely from an astrological point? I do not put much stock in astrology. I would rather deal with astronomy. Just as I would toss alchemy for chemistry.

Why cling to astrology at all?

From a scientific point of view, you have lumped together an actual star (the sun) with planets and a moon.

It seems like you are moving backwards from the current wealth of scientific knowledge in more ways than one.
Ni kweli,huwezi kuamini moja kwa moja. Na astrologer hawezi kusema kitu definite. Atasema tu,sidhani kama utafaulu,halafu wewe unaweza kujitahidi ukafaulu kwa mbinde. Na yeye atakupongeza if you prove him wrong. Astrologers wanaamini katika fire,water,earth,wind and air. Wanasema mtu Scorpio,a water sign hawezi kufunga ndoa na mtu Aries,a fire Sign.Scientists wakisoma astrology,science yao wanaiweka pembeni.
 
Hii ndo post ya kwanza sijaelewa tangu niingie jf
 
Tangazo la kupatwa kwa mwezi
tukio hili litatoke mnamo jumatano ya tar23~3~2016 kwa wale waishio marekani asia ya mashariki na australia mtaliona kwa uzuri
huku Afrika na Ulaya tutalazimika kusubiri mpaka 16~9~2016 ambapo litatanguliwa na tukio la kupatwa kwa jua mnamo1~9~2016 live bila chenga MTAARIFU NA JIRANI YAKO

kwa hakika hii si ya kukosa!.......

Chanzo;mimi kushirikiana na NASA
1 September 2016
UKUTA Day..!
 
th
 
Back
Top Bottom