Kwingine wapi ambapo hakujaathiriwa na vita!Naona kifurushi chenye kuonyesha mpira kimepanda, nikajiuliza nini tena.. Kumbe ndugu zetu wameshabadilisha bei japo hawajatoa promo watumiaji tuwe hadhiri kama ambavyo wanatoa promo kwenye majambo yao mengine. Mtutangazie, wengine bado tunalipa bei za zamani na sababu za mabadiliko ya bei ikiwapendeza.
TFF kutoa mkataba wa miaka mingi kwa hawa jamaa alizingua, bora msimu ujao wa ligi angejaribu mwingine kama gharama zimewashinda.
Mbona nyie mna afadhaliNaona kifurushi chenye kuonyesha mpira kimepanda, nikajiuliza nini tena.. Kumbe ndugu zetu wameshabadilisha bei japo hawajatoa promo watumiaji tuwe hadhiri kama ambavyo wanatoa promo kwenye majambo yao mengine. Mtutangazie, wengine bado tunalipa bei za zamani na sababu za mabadiliko ya bei ikiwapendeza.
TFF kutoa mkataba wa miaka mingi kwa hawa jamaa alizingua, bora msimu ujao wa ligi angejaribu mwingine kama gharama zimewashinda.
Rejea tittle ya mada yako.Azam alianza 15, akaenda 18 sijui akafikaje 20 na sasa yuko 23. Kulikuwa na vita gani nyingine?
Title inamaanisha masingizio, zipo sekta zimebaki na bei ya zamani na zipo ambazo zimetumia fursa kufanya mabadiliko ya bei. Niambie ndugu yangu, Azam TV wana gharama gani 'material' zenye uwezo wa kubadilisha bei zenye uhusiano wa moja kwa moja na vita?Rejea tittle ya mada yako.
KumbeWafanyakazi wa nyanza bottlng waliokuwa wanaendesha magari ya vinywaji wote wamerudi kwao ukraine kupigana vita,sasa hv kiwanda kinatumia boda boda kusupply. Ndo maana coca imepanda kutoka 500 mpaka 600.
Hapo penye 20 hata hakukaa sanaAzam alianza 15, akaenda 18 sijui akafikaje 20 na sasa yuko 23. Kulikuwa na vita gani nyingine?
Ya kiuchumiAzam alianza 15, akaenda 18 sijui akafikaje 20 na sasa yuko 23. Kulikuwa na vita gani nyingine?
Hizi bei tulipandishiwa tangu tarehe 01/04/2022 Sheikh. Wenzako tumeshaanza kuzoea maumivu.Naona kifurushi chenye kuonyesha mpira sikielewi, nikajiuliza nini tena.. Kumbe ndugu zetu wameshabadilisha bei japo hawajatoa promo watumiaji tuwe hadhiri kama ambavyo wanatoa promo kwenye majambo yao mengine. Mtutangazie, wengine bado tunalipa bei za zamani na sababu za mabadiliko ya bei ikiwapendeza.
TFF kutoa mkataba wa miaka mingi kwa hawa jamaa alizingua, bora msimu ujao wa ligi angejaribu mwingine kama gharama zimewashinda.
Hizi bei tulipandishiwa tangu tarehe 01/04/2022 Sheikh. Wenzako tumeshaanza kuzoea maumivu.
Mbona wamepandisha kidogo, nadhani walitakiwa angalau iwe 250,000 hicho cha 8,000, 350,000 kile cha 15,000, 650,000 kile cha 23,000, na 850,000 kile cha 35,000, wangeleta kifurushi kinge cha 1,550,000 kwa ajili ya kuangalia filamu za USA na Ulaya. TV kwa watu masikini si njema sana, ni muhimu access ya TV iwe kwa watu wenye uwezo wa kifedha tu.Naona kifurushi chenye kuonyesha mpira sikielewi, nikajiuliza nini tena.. Kumbe ndugu zetu wameshabadilisha bei japo hawajatoa promo watumiaji tuwe hadhiri kama ambavyo wanatoa promo kwenye majambo yao mengine. Mtutangazie, wengine bado tunalipa bei za zamani na sababu za mabadiliko ya bei ikiwapendeza.
TFF kutoa mkataba wa miaka mingi kwa hawa jamaa alizingua, bora msimu ujao wa ligi angejaribu mwingine kama gharama zimewashinda.
Pole sana mkuu sema nyumba ukiweza hama, kuna options nyingi. Huyu ndugu kafanya monopoly kwenye ligi ya TZ tena ya miaka na miaka halafu anatuongezea bei apendavyo..Mwenye Nyumba nae kapandisha Kodi anasema, garama za uendeshaji na athari za vita ya Ukraine