Athari ya vita ya Urusi yafika Azam TV, yapandisha bei ya vifurushi

Athari ya vita ya Urusi yafika Azam TV, yapandisha bei ya vifurushi

Naona kifurushi chenye kuonyesha mpira sikielewi, nikajiuliza nini tena.. Kumbe ndugu zetu wameshabadilisha bei japo hawajatoa promo watumiaji tuwe hadhiri kama ambavyo wanatoa promo kwenye majambo yao mengine. Mtutangazie, wengine bado tunalipa bei za zamani na sababu za mabadiliko ya bei ikiwapendeza.

TFF kutoa mkataba wa miaka mingi kwa hawa jamaa alizingua, bora msimu ujao wa ligi angejaribu mwingine kama gharama zimewashinda.

Elfu 3 kwa mwezi unalia lia mkuu ndugu yangu
 
Kwenye maisha kuna vitu vidogo vidogo lakini huwa vinakera sana mkuu, namuelewa sana yule aliyeleta mada ya kuazimwa charger kila siku wakati inauzwa chini ya 5,000 Kariakoo
Kwenye maisha kuna vitu vidogo vidogo lakini huwa vinakera sana mkuu, namuelewa sana yule aliyeleta mada ya kuazimwa charger kila siku wakati inauzwa chini ya 5,000 Kariakoo
Mimi walinikera imebidi nihamie kwenye kile cha 35k na. Nilikuwa sikitaki kwa sababu hakuna la maana

Huwa kaweka salio Mara kwa Mara mpaka mwezi ukifika ushahidi 35k

Wamekera sana Ila tutafanyaje wakati mama kashasema vitu vitapanda bei
 
Inamaanisha tangu ameanza mpaka sasa ameshapandisha bei kwa 130%
Hakika mkuu,,

Niliweka Azam dish kwa kiwango hicho 10000 , tena ilikuwa haina vifurushi,
Yaani ukilipa hyo ni fully package.
 
me nimeacha kulipa naangalia free to air tu na zile za dish
 
Back
Top Bottom