Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Elfu 3 kwa mwezi unalia lia mkuu ndugu yanguNaona kifurushi chenye kuonyesha mpira sikielewi, nikajiuliza nini tena.. Kumbe ndugu zetu wameshabadilisha bei japo hawajatoa promo watumiaji tuwe hadhiri kama ambavyo wanatoa promo kwenye majambo yao mengine. Mtutangazie, wengine bado tunalipa bei za zamani na sababu za mabadiliko ya bei ikiwapendeza.
TFF kutoa mkataba wa miaka mingi kwa hawa jamaa alizingua, bora msimu ujao wa ligi angejaribu mwingine kama gharama zimewashinda.
Ipo, tcraHivi hakuna mamlaka ya kudhibiti bei ya vingamuzi Kama Ile ya Ewura kwenye wese na Latra kwenye nauli?
Kwenye maisha kuna vitu vidogo vidogo lakini huwa vinakera sana mkuu, namuelewa sana yule aliyeleta mada ya kuazimwa charger kila siku wakati inauzwa chini ya 5,000 Kariakoo
Mimi walinikera imebidi nihamie kwenye kile cha 35k na. Nilikuwa sikitaki kwa sababu hakuna la maanaKwenye maisha kuna vitu vidogo vidogo lakini huwa vinakera sana mkuu, namuelewa sana yule aliyeleta mada ya kuazimwa charger kila siku wakati inauzwa chini ya 5,000 Kariakoo
Alianza 10000.Azam alianza 15, akaenda 18 sijui akafikaje 20 na sasa yuko 23. Kulikuwa na vita gani nyingine?
Hakika mkuu,,Inamaanisha tangu ameanza mpaka sasa ameshapandisha bei kwa 130%
Hiyo 145k per month mkuu??Mbona nyie mna afadhali
Huku DStv mbona siye kifirushi cha chini ni 9k,na cha juu ni around 145k?
Cha juu kabisa ni 35,000 halafu hakuna kitu cha maana daahAzam alianza 15, akaenda 18 sijui akafikaje 20 na sasa yuko 23. Kulikuwa na vita gani nyingine?