Athari za Baiskeli kwa Wanawake!

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Posts
2,806
Reaction score
3,485
WanaJamvi,

Kuna taarifa toka kwa wanasayansi. Wamedai wamefanya utafiti na kuthibitisha kuwa uendeshaji wa baikeli wa muda mrefu (regular bicycle riders) una athari mbaya kwa wanawake katika mahusiano ya kimapenzi.

Wanasayansi wanadai kuwa wanawake hao hukumbwa na tatizo la kushindwa kufika kileleni/mshindo (orgasm). Chanzo cha taarifa hakikusema ni kwanini wanashindwa kuufurahia uboo.

Tafadhali wanaume wa JF tuwatahadharishe wake zetu kuhusu mazoea ya kupitiliza ya kuendesha baiskeli.

Nawasilisha,


Bazazi!
 
Hizo baiskeli zimekaeje hadi binti apoteze uanawali wake? Stori za vijiweni bwana.................
 
he!...mbona bebi wangu kaniagizia polaris....na kaiagiza ghali ujue.....
 
Nadhani usukumani watakuwa wameathirika kwa kiwango kikubwa..
 
Hizo baiskeli zimekaeje hadi binti apoteze uanawali wake? Stori za vijiweni bwana.................
Bujibuji sifanyi utani, hizo ni taarifa za kisayansi la maana sio kuzipotezea ni kujaribu kuupata ukweli. Bazazi naendelea kufuatilia katika mitandao mbalimbali kuupata ukweli katika rangi yake na kuumwaga jamvini.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
vipi bodaboda? naona ndo dili kwa vijana wa kike na kiume huku mtaani
 
mweee!!! wee wacha zako wanawake wenyewe wakibongo kuendesha bicycle nadraa sana...so nothing to worry abt
 
ungeza bidii ukiwa na mkeo badala ya kutoa visingizio (not aimed at anyone in particular)
 
asa mie nayetumia bike kwenda kusaga, kuchota maji???
 
vipi bodaboda? naona ndo dili kwa vijana wa kike na kiume huku mtaani
Wi-Fi kwani Bodaboda inahusisha kuzungusha pedeli? Bodaboda zina athari kwa wanaume kuzichemsha shahawa hivyo kutokuwa na uwezo wa kutungisha mimba. Kwa kawaida joto la korodani huwa chini kidogo kuliko la sehemu nyingine za mwili na ndio sababu wakati wa joto hushuka chini.

Naamini kutofika kileleni kunatokana na k#m@ kusuguliwa sana na kiti cha baiskeli hivyo kupoteza uwezo wa kuhisi (sensitivity) kwa kuwa inakomaa. Kutokana na elimu ya viumbe (biology) ngozi ya ndani ya k#m@ inafanana kabisa na ya kwenye kiganja cha mkono au wayo wa mguu. sehemu hizo unapozitumukisha katika harubu huota sugu na kupoteza uwezo wa kuhisi.

Nastahili kusahihishwa iwapo nmekosea,

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
mweee!!! wee wacha zako wanawake wenyewe wakibongo kuendesha bicycle nadraa sana...so nothing to worry abt
mzabzab vipi wanawake wa Tanga, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Morogoro hawaendeshi baiskeli?
 
Last edited by a moderator:

Ama kweli wewe ni bazazi!
 
ungeza bidii ukiwa na mkeo badala ya kutoa visingizio (not aimed at anyone in particular)

Huu ushauri ungewapa waliofanya utafiti, sio kumbebesha lawama msomaji wa utafiti huo. Hivi unajua waziungu kila siku wanafanya utafiti wakati mewingine zisizo na maana; waliwahi kumfanyia utafiti NZI kujua kwanini huwezi kuumua kwa kubaka. Kabla ya kumbaka anakuwa amesharuka.

Think LOUD!

Bazazi!
 
Umegeuza mambo. Google tena utaona wanaume ndio wanaoweza kuathiriwa zaidi na matumizi ya baiskeli.
 
Umegeuza mambo. Google tena utaona wanaume ndio wanaoweza kuathiriwa zaidi na matumizi ya baiskeli.

Sijageuza Bandugu! Nadhani athari unayoisemea kwa wanaume ni tafauti ya wanawake. Plz ifafanue!

Bazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…