Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Nitaandika kidogo lakini kwa mwandiko uliokolea , nitaandika Kwa ajili ya watu wenye akili zakupambanua mambo na siyo kwa wanaosubiri siku zipite wazeeke. Naandika kwa watu wenye macho ya ujasusi wa kidiplomasia na siyo wenye ujasusi wa jinai unaoongozwa na nguvu nyingi akili kisoda. Twende KAZI
1. Nchi kuwa na wawekezaji ni jambo la kawaida Duniani kote now days bila kujali utulivu au amani ya nchi husika.Wawekezaji wanatafuta rasilimali,Duniani rasilimali ni chache hivyo ukiwa na rasilimali kama ilivyo Tanzania wageni watakuja tu Tena Kwa wingi.
2. Kuwa na wageni wengi kunasisimua uchumi Kwa SABABU ya uwekezaji wanaofanya, lakini pia wanakuja na mitaji katika mfumo wa Dola na hivyo kuboost hifadhi ya Fedha za Kigeni.
3. Lakini tujiulize ni Mbinu Gani utumika kuwafanya wawekezaji watumie kiasi kikubwa Cha Fedha zao ndani ya nchi? Kitu pekee kinachovutia watu kutumia kiasi kikubwa Cha Fedha kwenye nchi ya Kigeni ni usalama wao na Mali zao. Jambo pekee linaloweza ku