Athari za kuduu kipindi cha hedhi

Athari za kuduu kipindi cha hedhi

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,304
Reaction score
830
Wajameni naombeni kujua kama kuna adhari za kuduu kipindi mwenzio yuko period
 
Kuwa mvumilivu tu hadi amalize siku zake, hamu gani hiyo uliyonayo hadi kutaka siku ya hedhi? Hii dunia tutaja lia na kusaga meno
 
my friend hiyo ni big noma!

utakuwa 'one minute man' na kuishia cha kwanza tuu ukiwa hoi taabani kabisaa kama bata, shauri yako.....
 
jibuni hoja kama ilivyo ila co kutafuta sababu za kwa nn ilifanyika kipindi hcho?

Athari Plz Madakitariz
 
Kama mwenzio ana STD, kuambukizwa maradhi ni rahisi zaidi kipindi cha hedhi.
 
Kama mwenzio ana STD, kuambukizwa maradhi ni rahisi zaidi kipindi cha hedhi.

Ni kweli kabisa, uwezekano wa kuambukizwa STD unaongezeka kipindi hiki Hivyo endapo utakua umezidiwa sana matumizi ya kinga ni suala la msingi.
 
Nivyema ukasubiri amalize ndo mwendelee na shughuli.....
 
duh we noma hata kinyaa huna? alafu na misaafu inasema mwanamke aliye hedhi ni najisi "usinguse"
 
Nakumbuka wakati nahudhuria mafundisho ya ndoa kabla ya kufunga ndoa mwalimu alisema hakuna tatizo ila siyo ustaarabu mzuri,pia kwa mwanamke anaweza kubleed sana na pia kumwongezea maumivu hasa kama huwa anapata maumivu wakati wa hedhi.

Ila kama mwanamke ana magonjwa ya zinaa kwa mwanaume ni rahisi sana kuambukizwa,vilevile kama mwanaume ameathirika ni rahisi sana kumwambukiza ke.
 
ni uchafu afu unaweza kuambukizwa magonjwa ya ngono kwa urahisi kama mwenzio ameathirika
 
Eishi!!! Na mchuzi wote huo bado unataka kuleta furuku
 
kufanya ivo kati unajua mwenzio yu katka hali hiyo ni kutomtendea hak mwenz wako kwanza ile haitakiw mtu mwngne aione wew kama mme utakua na taarfa but sio kuona zile mambo bana, pia ni uchafu, na unaweza pata maradh kwenye ndude yako iyo.
 
Athari zipo na cha kwanza ndani ya wiki la kwanza kufanya huo uchafu utaanza kupata maumivu kwenye pumbu hasa ule mkojo wa mwisho na huo ndo utakuwa safari ya kupata busha imeanza rasimi na litaanza kukua siku hadi siku.
 
Niulize kwanza wewe ni wa ijumaa au jumapili? Kama ni wa ijumaa basi kufanya tendo hilo kwa wakati huo wa hedhi ni HARAMU kabisaaa,na ukifanya utapata dhambi. Sina uelewa na kwa upande wa wale jumapili,ningependa mwenye uelewa pia akusaidie kukujulisha kutoka kwa imani hiyo.hayo ni ya upande wa dini
Kwa upande wa akili za kawaida tu za kibinaadamu,hivi wewe hata haya na aibu huoni?humuonei huruma mkeo?hebu vaa viatu vyake ungekuwa wewe ungekubali mtu akunanihii kipindi hicho?hiki ni kipindi cha kumfariji na kuwa karibu na mkeo kwa kumjali na sio kwa kufanya jambo kama hilo. Sema na hizo tamaa zako za mwili na MUOGOPE MOLA WAKO!
 
Back
Top Bottom