Niulize kwanza wewe ni wa ijumaa au jumapili? Kama ni wa ijumaa basi kufanya tendo hilo kwa wakati huo wa hedhi ni HARAMU kabisaaa,na ukifanya utapata dhambi. Sina uelewa na kwa upande wa wale jumapili,ningependa mwenye uelewa pia akusaidie kukujulisha kutoka kwa imani hiyo.hayo ni ya upande wa dini
Kwa upande wa akili za kawaida tu za kibinaadamu,hivi wewe hata haya na aibu huoni?humuonei huruma mkeo?hebu vaa viatu vyake ungekuwa wewe ungekubali mtu akunanihii kipindi hicho?hiki ni kipindi cha kumfariji na kuwa karibu na mkeo kwa kumjali na sio kwa kufanya jambo kama hilo. Sema na hizo tamaa zako za mwili na MUOGOPE MOLA WAKO!