I_am_nyarubanja
Member
- Apr 25, 2023
- 6
- 9
Kilichotokea Kenya huenda kikatokea Tanzania pia lakin kwa njia ya tofauti maana wamama wengi ni wanakunywa mafuta ya upako
Nimesema wamama kwa sababu ndo wafuasi wengi wa hzi mamb kuliko wanaume. Mafuta yenyew hatujui yametoka wapi TFDA wapo na hawajaliona hili.
TBS wapo wamekaa kimya kujua ubira wa mafuta haya na TRA wapo hawajaona kwamba kuna kodi yetu hapa kwa huyu mfanyabiashara wa mafuta ya upako anaetumia jina la mtume/kanisa kukwepa kodi😀😀
Na sio mafuta tuu kuna maji ya upako pia nayo hatujui yanazalishwa wapi na yana ubora gan na serikali inapata vipi kodi kutoka kwa huyu mfanyabiashara.