Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

NGERESHAA

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,240
Reaction score
1,680
Habarini ndugu zangu wana JF, nimekua nashea posti mbalimbali humu nami nikaona siyo mbaya leo kuandika yangu kwa Mara ya kwanza, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, madhara ni mengi ya kutumia uzazi wa mpango wa kisasa zinazopatikana katika vituo vya (Maria stop) nitaweka ninazo zifahamu anayefahamu aongezee:

1.Saratani ya matiti au ya kizazi,

2.CD4 kushuka,

3.Kuaribika umbile,

4.Sehemu za mwanamke kuwa baridi,

5 .Huchangia opresheni 50% unapo hiari kupata mtoto,

6.Magonjwa ya Mara kwa Mara,

7.Uzito kupungua au kuongezeka ,

8.Mtoto anayezaliwa baadae kuathiriwa,

9.Siku za mwanake kubadilikabadilika,

10.Kuwa hotel ya majini,

11.Kuathirika ubongo,

12.Furaha ya tendo la ndoa inapotea,

13.Kubwa kuliko yote mi uuwaji na n:k

Kama kuna mtu ana swali au anayehitaji kueleweshwa karibu.

Ongezeeni athari nyingine asante naomba kuwasilisha
 

Ni kwa namna gani njia za uzazi wa mpango wa kisasa zinasababisha kushuka kwa CD4 Cells Count?
 
Kuna x mchepuko wangu ni single mother.....ameweka kile kidude mkononi hapa juu kidogo ya kiwiko kama kijiti dah nilishangaa. Ndio kinaitwaje kile?
 
Sasa tutatumia nini jamani? Maana hayo ya wazungu kweli yanaside effects mbaya kabisa, hakuna njia ya asili nyingine ukiacha calendar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…