Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

hizi njia za uzazi wa mpango mbaya sana yaani kuna binti nilikuwa nae tukiwa faragha alikuwa anamwaga damu yaani full kubleed mashuka kulowa damu tupu ilifika kipindi nikimuomba mchezo akikumbuka suala la kumwaga damu anapata mfadhaiko sana sasa kama mtu anafadhaika kabla ya tendo husitegemee mtu kufurahia tendo hata mwanaume ukazane vipi. tatizo sex tumeifanya kama starehe ndio maana hofu ya mimba imekuwa kubwa ila kama sex ingechukuliwa kama hitaji la mwili basi lingepangiwa utaratibu ambao ungeweza kuzuia mimba hisiyotarajiwa hata bila kutumia hizo njia za kimagharibi.
 
Njia sahihi ya uzazi wa mpango ni kuhesabu siku tu, njia hii ni rahisi na salama kiafya na haina gharama.
Njia za kisasa ni mauaji na kafara kwa shetani, zinaondoa furaha ya ndoa na uaminifu kwa wanandoa. "MWANADAMU HAWEZI KUPATA FURAHA MPAKA ATAKAPOMJUA MUNGU WA KWELI"
 
hizi njia za uzazi wa mpango mbaya sana yaani kuna binti nilikuwa nae tukiwa faragha alikuwa anamwaga damu yaani full kubleed mashuka kulowa damu tupu ilifika kipindi nikimuomba mchezo akikumbuka suala la kumwaga damu anapata mfadhaiko sana sasa kama mtu anafadhaika kabla ya tendo husitegemee mtu kufurahia tendo hata mwanaume ukazane vipi. tatizo sex tumeifanya kama starehe ndio maana hofu ya mimba imekuwa kubwa ila kama sex ingechukuliwa kama hitaji la mwili basi lingepangiwa utaratibu ambao ungeweza kuzuia mimba hisiyotarajiwa hata bila kutumia hizo njia za kimagharibi.
Ungemshauri awaone madaktari
 
Nawasihi sana na nawaomba sana, dada zangu na mama zangu, njia nzuri ambazo hazina madhara ni condom na calendar. Nilishuhudia dada mmoja ughaibuni akipata stroke baada ya kutumia hayo mavidonge. Nilijiuliza sana, kama huku dunia ya kwanza yanawafanya hivi, je sisi toka dunia ya tatu itakuwaje?
 
Hivi haya mauvimbe ya kwenye kizazi asilimia kubwa husababishwa na hizi njia za uzazi wa mpango ?????
 
Amanikullaya Unasema haya:

"Kuna madhara mengi ya kutumia njia za uzazi wa mpango wa kisasa zinazo patikana katika vituo vya (maria stopes). Nitaweka ninazo zifahamu:

1.saratani y matiti au y kizazi,
2.cd4 kushuka,
3.Kuaribika umbile,
4.sehemu za nwana make kuwa baridi,
5 .huchangia opresheni 50% unapo hiari kupata mtoto,6.magonjwa ya Mara kw Mara,
7.uzito kupungua au kungezeka ,
8.mtoto aneye zaliwa baadae kuathiriwa,
9.cku za mwanake kubadilika badilika,
10.kuwa hotel ya majini,
11.kadhirika ubongo,
12.furaha ya tendo la ndoa inapotea,
13.kubwa kuliko yote mi uuwaji na n:k"

Nina maswali machache.

Maelezo yako yanao msingi katika utafiti wowote wa kisayansi?
Vipi kuhusu faida za njia unazozitaja?
Kuna mbadala gani?
Mbadala huo unazo faida gani?
Mbadala huo unazo hasara gani?
Kuhusu namba 13, unaongelea uwaji wa ovum na spermatozoa?
Kuna tatizo gani kuua gametes?

Nasubiri majibu.
 
Back
Top Bottom