Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Hiyo ni zawadi kutoka kwa Mungu.Kuacha hilo tendo. Hujui ndo starehe ya sisi maskini???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni zawadi kutoka kwa Mungu.Kuacha hilo tendo. Hujui ndo starehe ya sisi maskini???
Hizi dawa ni mbaya sana. Wengi niliowaona wametumia zimewaletea madhara. Hasa ya kuwa shapeless. Unakuta kila kitu kimejaza sehemu moja. Bado ukitaka kuzaa uanze kuhangaika.Kwa kweli...nasikia hizo njia za hospitali zinaweza sababisha ukatoa maji mengi sana.
Ila nchi zilizoendelea kabla ya kutumia njia yeyote mtu anafanyiwa test ni ipi itamfaa.
Na siamini kama kwao wanatumia dawa hizihizi zenye kuleta kizaa zaa.
Hilarious.. Ni kweli ndio furaha pekee ya jamii maskini, lakini ukifikiria au siku ukashuudia mateso yaletwayo na starehe hiyo ni rahisi kuacha na kutolichukulia kama starehe tena.Kuacha hilo tendo. Hujui ndo starehe ya sisi maskini???
Mkuu hili ni tendo takatifu na ndio maana linatuletea watoto kudhihirisha utakatifu wake.Hilarious.. Ni kweli ndio furaha pekee ya jamii maskini, lakini ukifikiria au siku ukashuudia mateso yaletwayo na starehe hiyo ni rahisi kuacha na kutolichukulia kama starehe tena.
Umesema vema. Tatizo letu sisi badala ya kuchukua mahudhui tunakimbilia kukosoaKwani si kaeleweka?Haya tuchangie mada.
ia ya kutoa nje ikoje?Kalenda siku ukiona inazingua option ninayoona ni nzuri ni hiyo ya kutoa nje, ila inahitaji mtu muelewa na smart maana risk ni kubwa.
Ukifungiwa utalalamika?Njia nyingine pekee ya asili iliyo salama ni kuacha kutommbana tu kama hauko tayari kupata mimba kwa muda huo.
Wife wangu aliwekewa kijiti mkononi ya miaka 3 lakini hajafika hata mwaka akaenda kutolewa baada ya hilo dude kumdhoofisha kiafya. Akaanza kutumia mbegu za mnyonyo mwezi wa sita tangu aanze kutumia, tatizo limekuja tena huwa anaona siku zake kati ya tar 14 mpaka 16 lakini leo ni 21 bado hajaingia period.Mnyonyo nayo haiaminikiZipo,wazee wa male wanajua.Mfano mbegu za mnyonyo kama sijakosea...Sijajua vizuri ila nasikia zipo ila sio efficient unaweza kunasa mimba.
Mbegu za mnyonyo zinatumikaje?Wife wangu aliwekewa kijiti mkononi ya miaka 3 lakini hajafika hata mwaka akaenda kutolewa baada ya hilo dude kumdhoofisha kiafya. Akaanza kutumia mbegu za mnyonyo mwezi wa sita tangu aanze kutumia, tatizo limekuja tena huwa anaona siku zake kati ya tar 14 mpaka 16 lakini leo ni 21 bado hajaingia period.Mnyonyo nayo haiaminiki
Ukifungiwa nini? Kwa kosa lipi? Na nani?Ukifungiwa utalalamika?
Huwa anatumia punje moja kwa kuitafuna na kuimeza kila baada ya kuingia hedhiMbegu za mnyonyo zinatumikaje?
linatuletea watoto kudhihirisha utakatifu wake.
Dhumuni kuu?kwa hiyo watu wenye matatizo ya uzazi hususani ugumba na wanajitambua kabisa hawana uwezo wa kupata watoto kwa njia ya kujamiiana waache kabisa?Basi litumie kwa kukuletea watoto na hapo ndio utakatifu wake ulipo na pia ndio dhumuni kuu la wepo wa tendo hilo.
Nawasihi sana na nawaomba sana, dada zangu na mama zangu, njia nzuri ambazo hazina madhara ni condom na calendar. Nilishuhudia dada mmoja ughaibuni akipata stroke baada ya kutumia hayo mavidonge. Nilijiuliza sana, kama huku dunia ya kwanza yanawafanya hivi, je sisi toka dunia ya tatu itakuwaje?