Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Dhumuni kuu?kwa hiyo watu wenye matatizo ya uzazi hususani ugumba na wanajitambua kabisa hawana uwezo wa kupata watoto kwa njia ya kujamiiana waache kabisa?
BTW mimba huweza kutungwa hata bila tendo.
Siamini kama unamaanisha unachosema
Namaanisha ninacho kisema wala sio vinginevyo.
Tumeongelea "utakatifu" na hapo kimsingi tumeshaingia kwenye imani, sasa kiimani tendo hili linafahamika kama tendo la ndoa, tendo la ndoa ni kwa ajili ya uzaliano baina ya watu ambao tayari wamekwisha oana.
Sasa nyie kama ni wagumba na mme amua kufanya, fanyeni tu hakuna anaewazuia sula la nyie kushindwa kuzaa hilo ni juu yenu.
Ni kweli mimba inaweza kutungwa hata bila tendo lakini hiyo ni njia ya ililetwa na binadamu mwenyewe.