Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Dhumuni kuu?kwa hiyo watu wenye matatizo ya uzazi hususani ugumba na wanajitambua kabisa hawana uwezo wa kupata watoto kwa njia ya kujamiiana waache kabisa?
BTW mimba huweza kutungwa hata bila tendo.
Siamini kama unamaanisha unachosema

Namaanisha ninacho kisema wala sio vinginevyo.

Tumeongelea "utakatifu" na hapo kimsingi tumeshaingia kwenye imani, sasa kiimani tendo hili linafahamika kama tendo la ndoa, tendo la ndoa ni kwa ajili ya uzaliano baina ya watu ambao tayari wamekwisha oana.

Sasa nyie kama ni wagumba na mme amua kufanya, fanyeni tu hakuna anaewazuia sula la nyie kushindwa kuzaa hilo ni juu yenu.

Ni kweli mimba inaweza kutungwa hata bila tendo lakini hiyo ni njia ya ililetwa na binadamu mwenyewe.
 
Wanasema Coca kabla na baada ya tendo na wanasema kunywa maji ya majivu kabla,hii njia ilimpatia ndugu yangu mtoto mzuri kabisa wa Kiume.

nimecheka km mazuri[emoji3]
Same to me calendar ilinipatia baby boy[emoji2][emoji2]
Ila sasa niko makini vibaya mno
 
Namaanisha ninacho kisema wala sio vinginevyo.

Tumeongelea "utakatifu" na hapo kimsingi tumeshaingia kwenye imani, sasa kiimani tendo hili linafahamika kama tendo la ndoa, tendo la ndoa ni kwa ajili ya uzaliano baina ya watu ambao tayari wamekwisha oana.

Sasa nyie kama ni wagumba na mme amua kufanya, fanyeni tu hakuna anaewazuia sula la nyie kushindwa kuzaa hilo ni juu yenu.

Ni kweli mimba inaweza kutungwa hata bila tendo lakini hiyo ni njia ya ililetwa na binadamu mwenyewe.
Haya jumapili njema.
 
Hili ni janga kabisa! Nilipanga kupata watoto watatu nimepewa Thank God! Sasa kwenye kuzuia nisiongeze mtoto mwingine ni kwikwi kwakweli! Yaani ni shida ! My wife becomes sweeeter as days count ! Kuwithdraw with all that sweetness of my love ni mtihani mkubwa kwelikweli! Condom no way! Hiyo midawa ndio sitaki hata kuisikia .... Calendar?????? Hapa Mungu unambidi aingilie kati tu hakuna namna

[emoji2][emoji2]kwa utamu huo,mtoto wa4 yuko njiani[emoji23][emoji23]
 
Wife wangu aliwekewa kijiti mkononi ya miaka 3 lakini hajafika hata mwaka akaenda kutolewa baada ya hilo dude kumdhoofisha kiafya. Akaanza kutumia mbegu za mnyonyo mwezi wa sita tangu aanze kutumia, tatizo limekuja tena huwa anaona siku zake kati ya tar 14 mpaka 16 lakini leo ni 21 bado hajaingia period.Mnyonyo nayo haiaminiki

Akapime mimba pia wkt anasubiria period
 
Hili ni janga kabisa! Nilipanga kupata watoto watatu nimepewa Thank God! Sasa kwenye kuzuia nisiongeze mtoto mwingine ni kwikwi kwakweli! Yaani ni shida ! My wife becomes sweeeter as days count ! Kuwithdraw with all that sweetness of my love ni mtihani mkubwa kwelikweli! Condom no way! Hiyo midawa ndio sitaki hata kuisikia .... Calendar?????? Hapa Mungu unambidi aingilie kati tu hakuna namna
Utaijaza dunia Mkuu....ohh!!
 
mimi nafikiri 90% ya wanaotumia hiyo midawa ni malaya asilimia iliyobaki ndio mambo mengine
 
Babu na bibi huwa hawalali chumba kimoja, kila mmoja ana chumba chake, bibi kazi yake ni kuhesabu siku, akiona yupo fiti basi anaibukia chumbani kwa babu. Na hats siku moja hawezi kukosa kwenda kwa babu kama yupo vizuri.

Tatizo letu sisi maisha ya kizungu, mna lala mitanda kimoja, hamwoni kama ni kuongeza majaribu.

Hii technique ya babu na bibi nimeipenda sana.
You are very intelligent.
 
Nilitumia njia ya uzazi wa mpango ya kijiti ikawa inaniletea period ya mara kwa mara, nikajaribu sindano duuh ikawa ndiyo shida zaidi.
Ni miaka 2 sasa natumia calendar, kikubwa ni kuelewana na mwenzi wako haziheshimu siku za hatari.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom