Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

No 11 kuwa hotel ya majini
Hii sijaielewa kwakwel
Naomba urudi nyuma nimeifafanua,n hv damu na vichanga n chakula cha majini na wachawi angalia wanawake n wengi wanao teswa n mapepo kuna % inayo changiwa hii kitu ,kwanza inatoka damu yenye vibonge siyo bahati mbaya n KW sbb imechanganyika na kiumbe ukiitupa haiishii hapo kw wenzako ni mali
 
Sorry hapo unakua muuwaji how na akati umejikimgamkuu

Imekuaje mkuu tunaomba ushee kwa kifupi tuuu
Yai+mbegu ni kiumbe hvyo kinacho fanyika ni uharibifu baada ya mimba kutungwa,sekunde tayari n kiumbe yai likisha rutubishwa
 
Hapana boss ,damu na vichanga ni chakula cha wachawi NA majini
Asanteni naona maswli nimeyajibu,japo KW kuchelewa n kw ufupi,Nina deni kwenu nalo no kuweka natural family plan mungu akipenda,asanteni wote .
 
Calendar ni nzuri tu kama siku hazi fluctuate mwezi huu 24, mwingine 25 mwingine 28 vinginevyo hatari ya ujauzito ni kubwa sana. Na hii ya kupiga goli nje nayo ni ngumu sana pale utamu unapokolea kupita kiasi na mtu anakulilia usichomoe usichomoe na kama kifo cha mende amekupiga kabari ya miguu mgongoni huku kakukumbatia na makucha juu akitaka kuendelea kusikilizia utamu mtakatifu na njemba inatii amri hivyo kutuchomoa na kuendeleza mashambulizi makali sana.

Mkishamaliza ndiyo mnaanza kuwaza na kuwazua kama je, mmetengeza kiumbe ama mko salama? Aliyekuja na hili neno UTAMU hakukosea kabisa na ndiyo sababu wake kwa waume wanaua wabaya wao kwa utamu wao kuonjwa na mwingine na wengine kuutegesha utamu wao ili ukigusa tu basi mnasane lol!

Kalenda siku ukiona inazingua option ninayoona ni nzuri ni hiyo ya kutoa nje, ila inahitaji mtu muelewa na smart maana risk ni kubwa.
 
Habarini ndugu zangu wana JF, nimekua nashea posti mbalimbali humu nami nikaona siyo mbaya leo kuandika yangu kwa Mara ya kwanza, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, madhara ni mengi ya kutumia uzazi wa mpango wa kisasa zinazopatikana katika vituo vya (Maria stop) nitaweka ninazo zifahamu anayefahamu aongezee:

1.Saratani ya matiti au ya kizazi,

2.CD4 kushuka,

3.Kuaribika umbile,

4.Sehemu za mwanamke kuwa baridi,

5 .Huchangia opresheni 50% unapo hiari kupata mtoto,

6.Magonjwa ya Mara kwa Mara,

7.Uzito kupungua au kuongezeka ,

8.Mtoto anayezaliwa baadae kuathiriwa,

9.Siku za mwanake kubadilikabadilika,

10.Kuwa hotel ya majini,

11.Kuathirika ubongo,

12.Furaha ya tendo la ndoa inapotea,

13.Kubwa kuliko yote mi uuwaji na n:k

Kama kuna mtu ana swali au anayehitaji kueleweshwa karibu.

Ongezeeni athari nyingine asante naomba kuwasilisha
swali hapo namba 10 weka wazi
 
Kalenda njia nzuri wote wawili mkikubaliana iwe njia yenu ya uzazi wa mpango.....haina madhara yoyote
 
Kiukweli mi siwashauri wagonjwa wangu hususani wale wasio na watoto kabisaaa
 
Calendar ni nzuri tu kama siku hazi fluctuate mwezi huu 24, mwingine 25 mwingine 28 vinginevyo hatari ya ujauzito ni kubwa sana. Na hii ya kupiga goli nje nayo ni ngumu sana pale utamu unapokolea kupita kiasi na mtu anakulilia usichomoe usichomoe na kama kifo cha mende amekupiga kabari ya miguu mgongoni huku kakukumbatia na makucha juu akitaka kuendelea kusikilizia utamu mtakatifu na njemba inatii amri hivyo kutuchomoa na kuendeleza mashambulizi makali sana.

Mkishamaliza ndiyo mnaanza kuwaza na kuwazua kama je, mmetengeza kiumbe ama mko salama? Aliyekuja na hili neno UTAMU hakukosea kabisa na ndiyo sababu wake kwa waume wanaua wake kwa utamu wao kuonjwa na mwingine na wengine kuutegesha utamu wao ili ukigusa tu basi mnasane lol!
Hahahaha nimecheka sana na ulivyoielezea sasa, Ukweli usemacho ni sahihi sana lkn inawezekana tu mkiamua binafsi zimekuwa njia zangu miaka yote. Halafu mwambie Bubu Ataka Kusema namsalimia sana sana na kwa nini siku hizi haweki nyimbo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Amanikullaya Unasema haya:

"Kuna madhara mengi ya kutumia njia za uzazi wa mpango wa kisasa zinazo patikana katika vituo vya (maria stopes). Nitaweka ninazo zifahamu:

1.saratani y matiti au y kizazi,
2.cd4 kushuka,
3.Kuaribika umbile,
4.sehemu za nwana make kuwa baridi,
5 .huchangia opresheni 50% unapo hiari kupata mtoto,6.magonjwa ya Mara kw Mara,
7.uzito kupungua au kungezeka ,
8.mtoto aneye zaliwa baadae kuathiriwa,
9.cku za mwanake kubadilika badilika,
10.kuwa hotel ya majini,
11.kadhirika ubongo,
12.furaha ya tendo la ndoa inapotea,
13.kubwa kuliko yote mi uuwaji na n:k"

Nina maswali machache.

Maelezo yako yanao msingi katika utafiti wowote wa kisayansi?
Vipi kuhusu faida za njia unazozitaja?
Kuna mbadala gani?
Mbadala huo unazo faida gani?
Mbadala huo unazo hasara gani?
Kuhusu namba 13, unaongelea uwaji wa ovum na spermatozoa?
Kuna tatizo gani kuua gametes?

Nasubiri majibu.
Jamaa anataka kutuletea mafundisho ya kikatoliki hapa coz mbegu sio watoto and if it is a case inamaana hata hao hata hizo njia za asili ni uuaji sababu sio kila mbegu inarutubishwa/rutubisha
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Naye anasema anakusalimia sana. Anasema pita mtaa huu labda baadhi ya nyimbo utazipenda.

Music makes us feel good

Hahahaha nimecheka sana na ulivyoielezea sasa, Ukweli usemacho ni sahihi sana lkn inawezekana tu mkiamua binafsi zimekuwa njia zangu miaka yote. Halafu mwambie Bubu Ataka Kusema namsalimia sana sana na kwa nini siku hizi haweki nyimbo?
 
Habarini ndugu zangu wana JF, nimekua nashea posti mbalimbali humu nami nikaona siyo mbaya leo kuandika yangu kwa Mara ya kwanza, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, madhara ni mengi ya kutumia uzazi wa mpango wa kisasa zinazopatikana katika vituo vya (Maria stop) nitaweka ninazo zifahamu anayefahamu aongezee:

1.Saratani ya matiti au ya kizazi,

2.CD4 kushuka,

3.Kuaribika umbile,

4.Sehemu za mwanamke kuwa baridi,

5 .Huchangia opresheni 50% unapo hiari kupata mtoto,

6.Magonjwa ya Mara kwa Mara,

7.Uzito kupungua au kuongezeka ,

8.Mtoto anayezaliwa baadae kuathiriwa,

9.Siku za mwanake kubadilikabadilika,

10.Kuwa hotel ya majini,

11.Kuathirika ubongo,

12.Furaha ya tendo la ndoa inapotea,

13.Kubwa kuliko yote mi uuwaji na n:k

Kama kuna mtu ana swali au anayehitaji kueleweshwa karibu.

Ongezeeni athari nyingine asante naomba kuwasilisha

Kwa sabau ya athari no: 10 Hapo juu "Kuwa hotel ya majini" - THEN ANDIKO LAKO lote linakosa UHALALI.
 
Habarini ndugu zangu wana JF, nimekua nashea posti mbalimbali humu nami nikaona siyo mbaya leo kuandika yangu kwa Mara ya kwanza, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, madhara ni mengi ya kutumia uzazi wa mpango wa kisasa zinazopatikana katika vituo vya (Maria stop) nitaweka ninazo zifahamu anayefahamu aongezee:

1.Saratani ya matiti au ya kizazi,

2.CD4 kushuka,

3.Kuaribika umbile,

4.Sehemu za mwanamke kuwa baridi,

5 .Huchangia opresheni 50% unapo hiari kupata mtoto,

6.Magonjwa ya Mara kwa Mara,

7.Uzito kupungua au kuongezeka ,

8.Mtoto anayezaliwa baadae kuathiriwa,

9.Siku za mwanake kubadilikabadilika,

10.Kuwa hotel ya majini,

11.Kuathirika ubongo,

12.Furaha ya tendo la ndoa inapotea,

13.Kubwa kuliko yote mi uuwaji na n:k

Kama kuna mtu ana swali au anayehitaji kueleweshwa karibu.

Ongezeeni athari nyingine asante naomba kuwasilisha

mkuu toa suluhisho
 
Back
Top Bottom