Athari za kuzuia chafya

lonewolf ranger

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
476
Reaction score
149
Chafya ni tendo lisilo la hiyari linalosaidia kusafisha njia ya hewa (pharynx). Hewa inayotolewa wakati wa kupiga chafya ina kasi mwendo (speed) wa 100mph (mile per hour) na pia moyo husimama kwa mda wakati wa kupiga.

Unapozuia chafya husababisha mgandamizo (pressure) mkubwa hasa kwenye ubongo, mapafu, mishipa ya damu na masikio.

Athari za kuzuia chafya ni kubwa sana ikiwemo;

- Kupunguza uwezo kusikia
- Kupasuka ngoma ya sikio(hii hutokea sana)
- Kuvuja damu katika ubongo (brain haemorrhage) baada ya mishipa iliyopo kwenye ubongo kupasuka, nyufa au kuvunjika mbavu

Pia kifo (mara chache).

NB: unapojisikia chafya piga tu but in good manner.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…