Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,992
- Thread starter
- #21
Nimetoa mfano wa majaji wa Nyerere kutokana na mifano niliyotoa. Sikumbuki majaji wa Mwinyi. Lakini Kikwete nakumbuka aliteua wengi.Kwanini walioteuliwa na Magufuli hsiwafananishe na wa Kikwete, Mkapa na Mwinyi!
Why Magufuli vs Nyerere?
Kwamba walioteuliwa na hao watatu wanatenda haki? au hao watatu hawakuteua!
Hoja yangu ni kwamba baadhi ya majaji wa enzi ya kikwete walituhumiwa kukosa weledi. Lakini hakuna tuhuma za kukandamiza wapinzani wa serikali. Hili limejitojeza zaidi kwa majaji wa Magufuli.
Ndiyo maana kuna contrast kubwa kati ya majaji wa Nyerere na Magufuli.