Nimetoa mfano wa majaji wa Nyerere kutokana na mifano niliyotoa. Sikumbuki majaji wa Mwinyi. Lakini Kikwete nakumbuka aliteua wengi.Kwanini walioteuliwa na Magufuli hsiwafananishe na wa Kikwete, Mkapa na Mwinyi!
Why Magufuli vs Nyerere?
Kwamba walioteuliwa na hao watatu wanatenda haki? au hao watatu hawakuteua!
Majaji wanakandamizaje wapinzani wa serikali, toa mfano wa mpinzani aliyekandamizwa na jaji.Nimetoa mfano wa majaji wa Nyerere kutokana na mifano niliyotoa. Sikumbuki majaji wa Mwinyi. Lakini Kikwete nakumbuka aliteua wengi. Hoja yangu ni kwamba baadhi ya majaji wa enzi ya kikwete walituhumiwa kukosa weledi. Lakini hakuna tuhuma za kukandamiza wapinzani wa serikali. Hili limejitojeza zaidi kwa majaji wa Magufuli.
Ndiyo maana kuna contrast kubwa kati ya majaji wa Nyerere na Magufuli.
Ni kweli wanalalamika kumbuka sudani; kongo; boko haramu; wapalestina na wengine wao hawalalamiki bac sawaWazeee wa kulalamika
Mmekula?
Tutamtetea. Msizishe Kila baya kwake.na mkome.Kwa nafasi yake ya urais, Magufuli ataongelewa sana tu, awe hai au marhum. Mbona Nyerere anaongelewa sana tu? Mnataka kumficha Magu tusiongelee madudu yake kisa marhum? Hiyo haipo.
πMama Suluhu tuletee Suluhu kwa Katiba Bora.
Huku ni uwezo wako binafsi wa kusujudia watawala.na sio professionalism.Inatupasa tuige mfano wa Kenya ambapo mtu anayeteuliwa kuwa Jaji anaomba kupitia Judicial Service Commission (JSC) na anasailiwa na nayefaulu majina yanapelekwa kwa Mhe. Rais kwa uteuzi. Katika usaili wanapitia mambo mengi mfano uwezo kielimu, uzoefu katika kazi nk. Tuige mfano huu. Haki ni kitu kinachohitaji weledi, uaminifu wa hali ya juu na kutopendelea upande wowote. Tuepuke kutoa nafasi hizi kama zawadi.
Kama sijakosea kuna Jaji wa Mahakama Kuu alipandishwa cheo na Magufuli kwa sababu eti aliandika hukumu kwa KISWAHILI!!!Tumewahi kusikia malalamiko kuhusu kada ya majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Malalamiko hayo, kwamba kuna majaji hawana viwango vya kiweledi vinavyotakiwa, yalitolewa bungeni, na mh. Tundu Lissu enzi hizo...
Msoga group linapambana kutia kiwi nyeusi kwenye legacy ya Mwendazake.Kwanini walioteuliwa na Magufuli hsiwafananishe na wa Kikwete, Mkapa na Mwinyi!
Why Magufuli vs Nyerere?
Kwamba walioteuliwa na hao watatu wanatenda haki? au hao watatu hawakuteua!
Marehemu Magufuli, alipoingia tu madarakani alisema haridhishwi na serikali kila mara kushindwa kesi. Alichofanya ni kuwachukua maafisa wa TISS waliosomea sheria na kuwafanya majaji ili yeye aweze kuamuru kesi.Tumewahi kusikia malalamiko kuhusu kada ya majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Malalamiko hayo, kwamba kuna majaji hawana viwango vya kiweledi vinavyotakiwa, yalitolewa bungeni, na mh. Tundu Lissu enzi hizo...
Waache wenye akili wajadili.Teua na wewe wakaisimamie kesi ya Mbowe.
Tumewahi kusikia malalamiko kuhusu kada ya majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Malalamiko hayo, kwamba kuna majaji hawana viwango vya kiweledi vinavyotakiwa, yalitolewa bungeni, na mh. Tundu Lissu enzi hizo...
Kasema nini...?ππππππkuna watu wasiotaka kuumiza vichwa kufikiri. Hivyo, hutafuta njia za mkato na rahisi kwa kutoa hitimisho jumuishi wasijue madhara yake. Angejua sheria, asingesema haya yote anayosema.
Njaa na kulipa fadhila...kwa sasa hawajui nafasi zao kabisaSoma vizuri uzi. Magufuli ameteua majaji, wengi kawakuta. Nazungumzia wale aliowateua. Majaji wapumbavu wapo tu, hata enzi za Nyerere walikuwepo. Lakini Hawa wa Magufuli wametia fora
Kwa ushahidi huu uliouweka hapa ni wazi kwamba nchi ya Tanzania sasa inadhalilikaTumewahi kusikia malalamiko kuhusu kada ya majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Malalamiko hayo, kwamba kuna majaji hawana viwango vya kiweledi vinavyotakiwa, yalitolewa bungeni, na mh. Tundu Lissu enzi hizo...
Mmmekosa kazi umbea sinanyie mkawe majaji.. Mnaupiga mwingi hata shule hamkwenda kisa wateule... Tanzania kunawatu wa ajabu kweliTumewahi kusikia malalamiko kuhusu kada ya majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Malalamiko hayo, kwamba kuna majaji hawana viwango vya kiweledi vinavyotakiwa, yalitolewa bungeni, na mh. Tundu Lissu enzi hizo...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Waache wenye akili wajadili.