Athari za michezo ya utotoni

Athari za michezo ya utotoni

clearmind

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
813
Reaction score
1,913
Ndugu zangu, habari za jioni?

Nawakumbusha wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa kwenye michezo Yao pindi wakutanapo na watoto wengine. Ni wazi baadhi ya michezo michefu ikiwemo Tabia za kuingiliwa kinyume na maumbile huanzia kwenye hatua hii pia. Jioni njema.
 
Badilisha title ya uzi, otherwise useme ni mhanga wa ulichoandika ndani ya uzi Mkuu.
😀😀Title ilipaswa kuwa namna gani mkuu? Ukitoa ushauri ni lazima uwe umepitia? Umesahau haya mambo unapotembea fukweni hapa Dasalam unayaona Kwa macho meupe😀✍️
 
😀😀Title ilipaswa kuwa namna gani mkuu? Ukitoa ushauri ni lazima uwe umepitia? Umesahau haya mambo unapotembea fukweni hapa Dasalam unayaona Kwa macho meupe😀✍️
Ingeweza kuwa mfano hivi;

Wazazi: Chunguza michezo na marafiki wa mwanao.

Sasa kwa aina ya kichwa cha mada yako Athari za michezo ya utotoni tunategemea kuona ushuhuda na sio taadhari au kumbusho.

Ni hayo tu Mkuu.
 
Ndugu zangu, habari za jioni?

Nawakumbusha wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa kwenye michezo Yao pindi wakutanapo na watoto wengine. Ni wazi baadhi ya michezo michefu ikiwemo Tabia za kuingiliwa kinyume na maumbile huanzia kwenye hatua hii pia. Jioni njema.
Upo sahihi kabisa....
 
Back
Top Bottom