😀😀Title ilipaswa kuwa namna gani mkuu? Ukitoa ushauri ni lazima uwe umepitia? Umesahau haya mambo unapotembea fukweni hapa Dasalam unayaona Kwa macho meupe😀✍️Badilisha title ya uzi, otherwise useme ni mhanga wa ulichoandika ndani ya uzi Mkuu.
Ingeweza kuwa mfano hivi;😀😀Title ilipaswa kuwa namna gani mkuu? Ukitoa ushauri ni lazima uwe umepitia? Umesahau haya mambo unapotembea fukweni hapa Dasalam unayaona Kwa macho meupe😀✍️
Umesahau haya mambo unapotembea fukweni hapa Dasalam unayaona Kwa macho meupe[emoji3][emoji3578]
Upo sahihi kabisa....Ndugu zangu, habari za jioni?
Nawakumbusha wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa kwenye michezo Yao pindi wakutanapo na watoto wengine. Ni wazi baadhi ya michezo michefu ikiwemo Tabia za kuingiliwa kinyume na maumbile huanzia kwenye hatua hii pia. Jioni njema.