Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

Nyakati ngumu hazidumu
 
ELimu ya fedha, mitaji na mikopo inatakiwa liwe somo kabisa shuleni.
Yani hamna watu mabenki na taasisi za mikopo yanawapenda kwa wasiokuwa na elimi ya fedha esp Wafanyakaz wa serikalini na wakulima.
Ukiwa na uelewa utajua kwann ukope na ukope wakat gan
 
Kumbuka katika Dini ya Uisilamu Mwenyezi Mungu anakataza kukopa kwa riba,yaani unaweza kukopa lakini sio kuwekewe na riba ni haramu
 
Ushauri wangu kwa wachukua mikopo popote. Ukitaka kuchukua mkopo kwanza kabisa uwe na biashara specific unataka kuifanya na huo mkopo sio kujengea au kuokoa biashara inayofilisika, na mkopo usichukue zaidi ya 40% ya mtaji wako usizidi. Na ukichukua mkopo kuwa na displin na maisha sio hela zinatoka tu bila mpangilio. Hela zina macho na masikio usizichezee zinaona na kusikia. Pili. Kila mtaji unapoongezeka kunahtajika akili kubwa zaid maana soko lime ongezeko na udhibiti unakuwa mdogo so tengeneza management strong kwa usalama wa hela.
 
Unamkumbuka Marehemu Kaomba na umaarufu wake Ccm, alikufa Sababu ya stress ya deni la Bank ambao walikuwa wanataka kuuza shule yake!

Kama biashara zimekataa kabisa uza nyumba, lipa deni anza na zinazobaki
 
1 + 1 × 0 = 0 or 1 (Dead Alone)
Binary use in code 1+1 = 10
Because 1 is yes and 0 is No.
Why Add + is numerical combine.
Addition (+) is used when combining numerical values.Boolean logic (if, else) is used for decision-making, often returning true (1) or false (0)
Is if say else avoid boolen to return.
 
Yeye haogopi kukopa sema anateseka kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…