Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

Mtanzania anaonaga raha kukopa wakati wa kurudisha anaanza kutafuta sababu apate huruma au akwepe kulipa wakati ametia saini yake akiwa na akili timamu.
Hahahaha mkuu mbona comment yako itamuongezea stress mleta UziπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Pole Sana ndugu maisha ni vita usikate tamaa, endelea kutafuta namna naamini utafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…