Kitu kisichokubalika mbele ya Mungu na wanadamu walio wengi na kinachofanywa kwa siri kina madhara sana kisaikolojia.......
unaishi kwa hofu mbele ya wanadamu na hata Mungu,unaishi ukijua wewe unamyima mtu kuwa na furaha na mumewe na pengine na watoto wake,hujiamini unahisi tu unaonekana mbaya na wanawake wengi though waweza onekana strong they are guilty........
madhara ya muda mrefu yaweza kuwa magonjwa kama ya presha na moyo,manake hiyo hofu ni ngumu ku-contain........:coffee:
ukimwi pia,unajua mwanamke aliyekubali kuwa hawara anajua fika wewe una mke, wengi si watulivu 100%,anajua fika ipo siku unaweza kula kona ukarudi kutulia kwa mkeo so wewe unakuwa kwenye list na wengine,mwisho wa siku......yanaweza kukuta hayo.......:coffee:
nitarudi,si kitu kizuri,kama chaweza epukwa,ni vizuri zaidi.