Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana...Unaweza ukakosa kote
Taasisi gani imetangaza nafasi za kuhamia,, hebu weka tangazo mkuu..?Habari wana Jamii.. Naomba kupata uelewa kwenye hili .
Ikiwa umeshaajiriwa na unataka kuomba ajira Tena serikalini, wanaposema upitishe barua yako kwa mwajiri wako wa sasa .
1.Je ispofanyika hivo Athari zake ni nini?
Kupitisha Kwa mwajiri ni kama kutoa Taarifa kuwa Kuna jambo unalifanya. Siku ikitokea umepata kazi kwingine haitasumbua kufanya replacement kwasababu alikuwa anajua mchakato wako. Usipopitisha na ukapata kazi kwingine anaweza akakuwekea vikwazo au ukalipa fidia au ukaonekana tapeli na mtu wa kuhofiwa. Pitisha barua kwamanufaa ya kazi Yako ya Sasa na ya baadae.Hapana sio kuhamia. Mfano nafasi za kazi za tra Wamesema walioajiriwa serikalini inabidi kupitisha barua za maombi kwa waajiri wao. Ndo nauliza usipofanya hivo kuna Athari?
Hivi mkuu hii inakuwaje.. Tuseme umeomba upya taasisi nyingine na ukafanikiwa kupata.. Check number unapata mpya tofauti na ile za zamani, vp kuhusu cheo/Daraja chako/lako cha/la awali..?Kupitisha Kwa mwajiri ni kama kutoa Taarifa kuwa Kuna jambo unalifanya. Siku ikitokea umepata kazi kwingine haitasumbua kufanya replacement kwasababu alikuwa anajua mchakato wako. Usipopitisha na ukapata kazi kwingine anaweza akakuwekea vikwazo au ukalipa fidia au ukaonekana tapeli na mtu wa kuhofiwa. Pitisha barua kwamanufaa ya kazi Yako ya Sasa na ya baadae.
Mambo ya kuviziana...ni hatari na nusu...hapo usipokutana na jibu subiri Mkuu akirejea umletee hii barua sijui!Ni muhimu barua ipite kwa mwajiri kama taarifa. Usipopitisha na ikatokea ukapata hiyo kazi, maana yake Utumishi watakwambia wewe inaonekana tayari umeajiriwa. Nashauri fanya unavyoweza barua ipite kwa mwajiri. Unaweza subiri siku amekaimisha unaenda kwa anaemshikia ofisi anakuandikia pale "imepitia" anasaini unaenda kugonga mhuri mambo yameisha.
Kwanza Barua zinazohusu mtumishi kuhama lazima zipitie kwa Mkurugenzi wa Taasisi mwenyewe, sio kaimu.Mambo ya kuviziana...ni hatari na nusu...hapo usipokutana na jibu subiri Mkuu akirejea umletee hii barua sijui!
Hivi mkuu hii inakuwaje.. Tuseme umeomba upya taasisi nyingine na ukafanikiwa kupata.. Check number unapata mpya tofauti na ile za zamani, vp kuhusu cheo/Daraja chako/lako cha/la awali..?
Acha makasiriko....Acha ujuaji.kama huajelewa ni wewe. Walioelewa washanijibu. Punguza nye****