Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Wakuu,
Mtafutaji, mhifadhi na mtoaji kilichowekwa kwenye mkoba kasoma bajeti yake ikinakisi ndio mahitaji ya nchi kujiendesha.
Kudai kwamba nchi inakopa kwa sababu inauwezo wa kukopesheka na kulipa deni ni dharau kwa wananchi ambao ndio walipa kodi lakini wenyewe hawanufaiki na matokeo ya uwekezaji husika zaidi ya kuendelea kuishi maisha magumu bila matumaini ya nafuu yoyote.
Mikopo lazima iwe na mipaka na nchi ijifunze kujitegemea kwa kutumia rasilimali zake kwa faida ya wananchi sio starehe ya viongozi na baadhi ya watu weye fursa kujinufaisha.
Securing a loan to invest increases the overall risk in your investment portfolio. If your investments perform poorly, you could lose the invested amount and be obligated to repay the loan along with the interest, potentially leading to substantial financial losses thus economic collapse due to mismanagement.
Generally, a country should never borrow and not finance a budget. Where developing nations get into trouble is by borrowing for an infrastructure project and guaranteeing repayment of principal and interest based on the current market price of a natural resource or commodity
Advantages and disadvantages
Advantage
Quick access to funds and flexibility
Disadvantage
The loan is secured and comes with higher interest rates, and short repayment periods, imposes serious hardships on the taxpayers, and risks predatory