technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Najiuliza tu polisi wa Tanzania wameutangazia ulimwengu kwamba Tanzania kuna ugaidi na magaidi Tanzania.
Sasa najiuliza Rais alikuwa anaita wawekezaji juzi hapa waje kuwekeza Tanzania?
Je mwekezaji gani ataleta mitaji kwenye nchi ambayo ina hatari ki kiusalama?
Hivi tuna mfumo wa ulinzi kweli wa nchi?
Vyombo vyetu nyeti kama TISS na Polisi wameruhusu vipi habari kama hizi kuvuja na kutangazwa kwa Dunia?
Tunauweka kwenye hali gani uchumi na utalii wetu.
Kosa vyote lakini usikose akili.
Kwa kauli zile za Jana za ugaidi na njama za kuua viongozi wa juu naamini kabisa tumeua utalii na wala hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania.
Tuendelee tu ila siku tukikosa mishahara ya wafanyakazi na kuanza kuwapunguza ndio mtajua athari za hii kauli ya Jana.