Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Nadhani Hawatafika mbali na hii movement yao...most Kenyans are religious people (they at least believe in some God) and don't get offended by the word God in their national anthem.. I think Atheism in Kenya isn't that powerful to push this thing any far..
Kuiga tu wamewaiga wa US kutaka kuondolewe in God we trust kwenye dollar bill and other constitutional religious phrases and holidays wakenya kwa kuiga hawajambo.
After all atheism is a religion.
Tz kuna 30% ya watu wasiowakristo au waislam lakini hawajawah kuleta proposal as kijinga namna hiyoGood move for the atheists in Kenya. Bado Tanzania tu.
Leta chanzo cha utafiti wako kwanza kilichobaini kuwa 30% ya watanzania sio wakristo wala sio waislam.Tz kuna 30% ya watu wasiowakristo au waislam lakini hawajawah kuleta proposal as kijinga namna hiyo
Shindwa na ulegee we kuhani wa ibilisiGood move for the atheists in Kenya. Bado Tanzania tu.
Unamjua ibilisi wewe? Unaweza kuthibitisha kuwa kuna ibilisi?Shindwa na ulegee we kuhani wa ibilisi
Kaandika mtu kama wewe ndo maana umekuwa haraka kujua.
Wewe unadata zipi labdaKaandika mtu kama wewe ndo maana umekuwa haraka kujua.
Soma bibliaWewe unadata zipi labda
Hama kabisa!....tena tutapiga hatua kubwa tuliobaki pasipokua na wa sampuli yako!wakitoa hilo jina nahama kenya niende tz
First thing, everyone's opinion is Valid,
Me I believe in God, the creator of all creations,
Hivyo basi, kwa uelewa wangu mtu yoyote asiyemwamini Mungu sitamuelewa kwa lolote,
........
Ndiyo maana ni lazima kila mmoja aheshimu imani ya mwingine.Na hapo ndipo litokeapo tatizo...........mwishowe mnapigana bakora!...ama hata mabomu!.hizi imani ni hatari!
Tz kuna 30% ya watu wasiowakristo au waislam lakini hawajawah kuleta proposal as kijinga namna hiyo