Atheists Kenya wataka neno GOD liondolewe kwenye wimbo wa Taifa

Atheists Kenya wataka neno GOD liondolewe kwenye wimbo wa Taifa

Nadhani Hawatafika mbali na hii movement yao...most Kenyans are religious people (they at least believe in some God) and don't get offended by the word God in their national anthem.. I think Atheism in Kenya isn't that powerful to push this thing any far..

But you forgot the NEW CONSTITUTION is MOST POWERFUL that any Kenyan even the majority!
Hii ndio utamu wa KATIBA MPYA HURU!
 
Kuiga tu wamewaiga wa US kutaka kuondolewe in God we trust kwenye dollar bill and other constitutional religious phrases and holidays wakenya kwa kuiga hawajambo.

After all atheism is a religion.

if you know what atheism is I fail to understand if yours is ignorance or stupidity.As long as it has been done before it shouldn't even be thought of..you baffled me there.
 
Tz kuna 30% ya watu wasiowakristo au waislam lakini hawajawah kuleta proposal as kijinga namna hiyo
Leta chanzo cha utafiti wako kwanza kilichobaini kuwa 30% ya watanzania sio wakristo wala sio waislam.

Hiyo proposal siyo ya kijinga kwa sababu katiba yenyewe inaweka wazi kuwa haifungamani na dini yoyote.
 
First thing, everyone's opinion is Valid,

Me I believe in God, the creator of all creations,
Hivyo basi, kwa uelewa wangu mtu yoyote asiyemwamini Mungu sitamuelewa kwa lolote,
........
 
f08048e4d132fb498ff2dda78f595944.jpg
 
Alietaka kujua kuhusu Tanzania asome huo mkeka
 
this kenya and the constitution is for all kenyans including athiests. God has nothing to do with it. why should they be forced to to verbally conform to a belief that they dont agree with?

this constitution should ensure equality for the super majority and super small minority. the issue here is not God. the issue is equality.
 
wakitoa hilo jina nahama kenya niende tz
Hama kabisa!....tena tutapiga hatua kubwa tuliobaki pasipokua na wa sampuli yako!
Marekani keshatoa neno God kwenye noti, shuleni na majumba ya serikali, Mchina hata hana habari na dini na miungu.....Mungu ni wako(personal) sio kulazimishana, mathaalan imeleta tatizo kubwa tuionayo Mashariki ya kati(middle east) na kwingineko.
 
First thing, everyone's opinion is Valid,

Me I believe in God, the creator of all creations,
Hivyo basi, kwa uelewa wangu mtu yoyote asiyemwamini Mungu sitamuelewa kwa lolote,
........

Na hapo ndipo litokeapo tatizo...........mwishowe mnapigana bakora!...ama hata mabomu!.hizi imani ni hatari!
 
Tz kuna 30% ya watu wasiowakristo au waislam lakini hawajawah kuleta proposal as kijinga namna hiyo

Elewa maana ya "ATHEISM" kwanza kabla ya kukurupuka....husichanganye mambo weye......kuna Paganism,animists,naturalists,nudists,agnostics na kadhalika!
 
Back
Top Bottom