Atheists wana mtindio wa ubongo

Kwa hiyo wewe una amini Mungu hayupo?
Je unaweza kudhibitisha kuwa hayupo?
 
Unaongea haya sababu una mapokeo ya dini.Ushswahi kujiuliza vipi walioleta dini huku kwetu afrika wasingefika,ungekua na imani gani kumuhusu mungu now
 
Ukweli upi uo atheist anautafuta ambao haupo?
 
Hatua ya mwanzo nimeieleza Mimi na ndipo msingi wa swali ulipo. Wewe unakuja kuleta mambo ambayo hausiani. Msingi wa swali umemili kwenye uhalisia.
Unachokidai kuwa ulikielezea hukukielezea katika namna sahihi inayopaswa kuwa

Wewe uliruka kipengele muhimu ambacho hukukitolea ufafanuzi kuonesha kivipi kabla ya tukio la mtu kuona nyumba, mtu huyo alikuwa tayari na acknowledge ya kujua nyumba ni nini

Kwa maana hiyo hoja yako ya kuhusianisha jambo (uumbaji) ambapo ufanyikaji wake haujawahi kushuhudiwa popote pale au kuthibitishwa, kuwa ndio mchakato uliopelekea hicho kitu (ulimwengu) kuwepo itakosa maana mashiko.
 
Ndiyo maana nikasema hivi hakuna haja ya kuwepo kingine ili uthibitishe kingine,
Kama hakuna haja ya kuwepo kingine ili uthibitishe kingine niambie unawezaje kuthibitisha Mungu yupo bila kutegemea kitu kingine?
 
Nilikuuliza kulingana na ulichokidai kuwepo backup. Kwamba Kuna ulimwengu mwingine ambao ulishawahi kuwepo ili hoja yako iwe kweli kwamba Muumbaji hayupo ?
Mimi ndio nilikuuliza hilo swali

Sijui kama hata unaelewa nachokiandika

Mimi niliuliza hilo swali nikilinganisha na mfano wako wa nyumba ambao nimeukubali.

Hoja yangu kuu ya kuukubali mfano wako wa nyumba kuwa imejengwa ulitokana na backup ya kimazingira niliyoshuhudia nyumba zikijengwa.

Sasa kwenye ishu ya ulimwengu unao uthibitisho wowote unaoonesha records za limwengu zikumbwa ili tufikirie kuwa huu ulimwengu wetu utakuwa umeumbwa?
 
Dhana ya kumbwa au kujiumba umeipatia wapi?

Umeona namna unavyoifunga hoja yako kwenye sehemu ndogo unayoilazimisha kuwa majibu yapitie sehemu hiyo?

Mimi kabla ya kutaka kujua umejiumba au haujajiumba naomba unipe maana ya kuumba na kuumbwa kwanza.

Halafu unipe na mifano inayopimika kuonesha mchakato wa kuumba ukifanyika
 
Utasemaje kuwa kitu fulani kimeumbwa wakati hakuna records yeyote iliyowahi kutokea kuonesha uumbaji upo ili kui support kauli yako?
 
Jibu swali nililo kuuliza.
Mtu anayesema nyumba inajengwa anakuwa na sababu ya kiuzoefu na hicho kitu inayomsapoti hoja yake kuwa nyumba zinajengwa.

Wewe unayesema ulimwengu umeumbwa, wapi uliwahi kushuhudia ulimwengu ukiumbwa ili iwe rahisi kufikiri huu ulimwengu nao uliumbwa?
 
Uhalisia unaujuaje?

Unajuaje huu ni uhalisia na sio kama umepotoka tu?

Uhalisia unaonesha ulimwengu umeumbwa kwa uthibitisho upi?

Vitabu gani?

Kwasababu ulisema hakuna haja ya kutumia vitu vingine ili uthibitishe kingine basi sitaki hoja kuhusu vitabu nataka uthibitishe Mungu yupo bila kutumia vitu vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…