Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Unarudia swai ambalo nimeshakuuliza, uhalisia umenifanya nijue hilo.
Una reasoning ya kitoto sana

Nakuuliza umejuaje hii ni nyumba unasema ni kwasababu ya uhalisia

Mtu ambaye amekaa bush miaka yote hajawahi kuona nyumba, ukimuonesha nyumba atakuwa na ufahamu wa kujua hii ni nyumba?
 
Kijana unafatikia mambo ya Sayansi ? Unaweza kunipa jaribuo lolote la Kisayansi lililo fanyika kuonyesha Dunia inazunguka ? Sasa kama huijui Sayansi achana na jambo hili. Utakimbia hii nada kijana.

Au ni jaribio gani la Kisayansi lililo fanyika kuonyesha Jua lipo katikati na Dunia inazunguka jua ?

Naposema ngano namaanisha mambo yakutungwa yakawekwa katika Sayansi. Ushawahi kuniuliza kwanini Einstein alikuja na ishu ya Special Relativity ? Lengo ni kumuhujumu Albert Michelson aliyethibitisha ya kuwa Dunia haizinguki kwa kutumia Light Beams. Sababu Einstein alikuwa muumini wa wa theory ya Copernicus akaamua kumuhujumu mwenzake.

Siyo Mimi tu wenyewe tu walisha chalenjiana kijana kitambo sana. Fatilia haya mambo. Kisha jibu maswali niliyo kuuliza.
Hii story nimejikuta niko very interested nayo yani sijui kwanini hujanijibu
 
Atheists hawapotezi muda kwa kuabudu, ni kujikita katika kufikiri na kuvumbua vitu. Wewe umefunga macho unasali utavumbua lini? Hebu fanya utafiti kwa wanasayansi wakubwa duniani. Archimedes aliyevumbua "the law of floatation" alitumia mda mwingi kufikiri na sio kusali. Leo unawaita mataahira???
Vipi kuhusu wewe unayekaaga macho kodo, nini umevumbua mkuu?
 
Atheists hawapotezi muda kwa kuabudu, ni kujikita katika kufikiri na kuvumbua vitu. Wewe umefunga macho unasali utavumbua lini? Hebu fanya utafiti kwa wanasayansi wakubwa duniani. Archimedes aliyevumbua "the law of floatation" alitumia mda mwingi kufikiri na sio kusali. Leo unawaita mataahira???
Vipi kuhusu wewe unayekaaga macho kodo, nini umevumbua mkuu?
 
Africans throughout religions nowadays things are getting into a massive contradictions
 
Salaamu wakuu.

Niende Moja kwa moja kwenye mada.

Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.

Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".

Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".

Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.

Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.

Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
point sana mkuu na broo wangu ypo ivii yn anaboa[emoji1787][emoji1787]
 
Mungu yupi sasa maana mungu wapo wengi.kutokana na imani tofauti tofauti mkuu

Yule aliyekuumba wewe na kila kitu ndiye huyo ninaye mzungumzia, ambaye yupo peke yake katika uumbaji, hakuzaliwa na wala hazai, sisi sote twaomba msaada kutoka kwake, anazo sifa zote njema, yeye ndiye mfalme wa siku ya mwisho, hasinzii wala halali, uchovu haumshiki, haonekani kwa macho ya kimwili bai kwa macho ya kiroho, anasikia, anaona, anarehemu na kufadhili, vyote tunavyotumia bure ni kati ya rehema zake.
 
Yule aliyekuumba wewe na kila kitu ndiye huyo ninaye mzungymzia, ambaye yupo peke yake katika uumbaji, hakuzaliwa na wala hazai, sisi sote twaomba msaada kutoka kwake, anazo sifa zote nhema, yeye ndiye mfalme wa siku ya mwisho, hasinzii wala halali, uchovu haumshiki, haonekani kwa macho ya kimwili bai kwa macho ya kiroho, anasikia, anaona, anarehemu na kufadhili, vyote tunavyotumia bure ni kati ya rehema zake.
Wewe hizo habari umetoa wapi?????Kwenye vitabu vya wazungu,wayahudi au waarabu?????Au kwa babu zako???
 
Back
Top Bottom