Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Yeye yupi?

Allah, Yahweh, Yehova, Enlil, Euplois, Euros , Eurybe,Euryleia, Euterpe, Fates,Fortuna, Gaia, Gaieokhos, Galea, Gamelia, Gamelios, Gamostolos, Genetor, Genetullis, Geryon, Gethosynos, giants, Gigantophonos, Glaukopis, Gorgons, Gorgopis, Graiae, griffin, Gynaikothoinas, Gynnis, Hagisilaos, Hagnos, Haides, Harmothoe, harpy, Hegemone, Hegemonios, Hekate, Hekatos, Helios, Hellotis, Hephaistia, Hephaistos, Hera, Heraios, Herakles, Herkeios, Herme nk.
Hebu nitajie hao mmoja mmoja unaavyowaelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Unafahamu the universe keeps expanding for every second that goes by?
Kwahiyo universe ndio mbinguni?
Halafu kulingana na biblia, mtu anapokufa haendi mbinguni wala motoni.... hizi zilikua ni imani za kale (kabla ya ukristo) ambazo wakristo walizichanganya katk ukristo wao. Same goes kwa siku za kufanya ibada, siku ya x-mas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo universe ndio mbinguni?
Sijui mkuu, hiyo universe tunaijua kwa kiasi gani kwanza? Nina hakika hata theluthi haijafika

Maarifq yetu kuihusu bado madogo sana
Halafu kulingana na biblia, mtu anapokufa haendi mbinguni wala motoni.... hizi zilikua ni imani za kale (kabla ya ukristo) ambazo wakristo walizichanganya katk ukristo wao. Same goes kwa siku za kufanya ibada, siku ya x-mas

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wakifa wanaenda wapi? Au inakuwa imeisha?
 
Mkuu unanipangia na hoja kuendana na matakwa yako?
Sikupangii, sifa za Mungu wako ndio zinazo ku limit wewe usiandike hoja kama hiyo

Mungu mwenye upendo wote hutakiwi kumuelezea katika namna yeyote inayoonesha ubaya.

Mungu mwenye upendo wote hawezi kuruhusu dhana ya "mwenye nguvu ndiye aishi" (only the strong will survive)

A loving God wouldn't create such world where living species have to eat other species to survive
 
Wrong Question
Kwanini aumbe ulimwengu ambao ili kiumbe kimoja kisurvive lazima kingine kife?
Unampangia Mungu?
Simpangii ila ni kwa mujibu wa sifa zake, hana sababu ya kuumba ulimwengu wa aina hiyo

Mungu mwenye upendo wote, hiyo ndio sifa ambayo inamlazimu aumbe ulimwengu usiohitaji kiumbe kingine ki-survive lazima kingine kife.
 
Sikupangii,
Safi unaonesha una akili
sifa za Mungu wako ndio zinazo ku limit wewe usiandike hoja kama hiyo

Mungu mwenye upendo wote hutakiwi kumuelezea katika namna yeyote inayoonesha ubaya.
Ni nani kasema?😂 mbona unanipangia tena

Mungu mwenye upendo wote hawezi kuruhusu dhana ya "mwenye nguvu ndiye aishi" (only the strong will survive)
Alaa
Nani kasema kuwa hawezi? Mkuu Mungu halazimiki kuendana na expectations zako
Maana yeye ndiye anayepanga na wewe haupo hata kwenye nafasi ya kumshauri
A loving God wouldn't create such world where living species have to eat other species to survive
Wewe sio wa kupanga, hapo ulipo huwezi hata kutengeneza system yenye mfano wake unapata wapi uhalali wa kumpangia kwamba lazima awe ABC ndio awe hivi
 
Simpangii ila ni kwa mujibu wa sifa zake, hana sababu ya kuumba ulimwengu wa aina hiyo
Hana sababu kivipi?
Yeye ndiye muweza wa yote yani anafanya anachokitaka
Mungu mwenye upendo wote, hiyo ndio sifa ambayo inamlazimu aumbe ulimwengu usiohitaji kiumbe kingine ki-survive lazima kingine kife.
Nani kasema analazimika na chochote?

Yeye anafanya anachokitaka kwa namna anayoitaka hana wa kumhoji wala wa kupinga mipango yake

Hata wewe Scars huna cha kumfanya unaweza kuwa hupendi kufa lakini alishapanga kuwa utakufa na kweli utakufa na hakuna kitu unaweza fanya😂

Tatizo ninaloliona ni kuwa unadhani u are in a position to bargain with God aendeshe vipi mambo yake, i hate to break it to u, U are not!😂
 
Yeye yupi?

Allah, Yahweh, Yehova, Enlil, Euplois, Euros , Eurybe,Euryleia, Euterpe, Fates,Fortuna, Gaia, Gaieokhos, Galea, Gamelia, Gamelios, Gamostolos, Genetor, Genetullis, Geryon, Gethosynos, giants, Gigantophonos, Glaukopis, Gorgons, Gorgopis, Graiae, griffin, Gynaikothoinas, Gynnis, Hagisilaos, Hagnos, Haides, Harmothoe, harpy, Hegemone, Hegemonios, Hekate, Hekatos, Helios, Hellotis, Hephaistia, Hephaistos, Hera, Heraios, Herakles, Herkeios, Herme nk.
Hili swali hakuna mtu yoyote JF anaeweza kulijibu.Ni swali la kisomi mno ukilichambua kiundani
 
Hakushindwa ndiyo maana kaumba pepo

Huko zipo raha zote unazoweza fikiria hakuna tabu, machungu, huzuni wala lolote lenye kukuudhi
Hakushindwa ndio maana akaumba pepo au alishindwa na ndio maana akaumba pepo?

Hapa tunahoji kupitia sifa zake.

Mungu mwenye upendo wote hakupaswa kuwa na kazi chafu sehemu yeyote ile haijalishi ni ulimwenguni au wapi

By the way huko mbinguni unakokutaja kuwa ni sehemu nzuri na salama tunazo stori zake kuhusiana na vita iliyopigwa huko juu kati ya Mungu na shetani

Kwa records za vitabu vya dini tangu kuumbwa kwa ulimwengu na mbingu, vita ya kwanza kupigwa ilikuwa ni ile ya Mungu na shetani

So kabla ya kuanza kutusimulia habari za mema ebu tuelezee iliwezekanaje hiyo vita kufanyika huko sehemu tukufu kiasi cha wewe kujifariji kuwa huko ni sehemu safe?
 
Hakushindwa… Nimekwambia kuna pepo ambapo huko hakuna tabu ila ili uingie sharti umuamini na ufanye mema

Wewe ndio una huruma sana na viumbe kuliko aliyeviumba?
According to scriptures, Heaven cannot guarantee safe.

Vita ya kwanza ilianzia huko huko

Kwa maana hiyo ni kwamba pepo sio sehemu salama ambayo mabaya hayawezi kufanyika

So rudi tena jibu swali langu vizuri
 
Sijui mkuu, hiyo universe tunaijua kwa kiasi gani kwanza? Nina hakika hata theluthi haijafika

Maarifq yetu kuihusu bado madogo sana

Kwahiyo wakifa wanaenda wapi? Au inakuwa imeisha?
Biblia inasema kua mtu ukifa ndio habari yako imeishia hapo. Halafu mwisho wa siku atashuka yesu aje kufufua watu. Pia inaendelea kusema kua 'nafsi itaonja umauti' kwa maana hio kila mtu atakufa!

Hapo sasa atapuliza parapanda na watu wote watafufuliwa, wa makaburi ya ukumbusho, maskini, matajir... wote watafufuliwa halafu hukumu itaanza...

Walio tenda mabaya ktk uhai wao adhabu yao itakua ni kifo (warumi 6:23). Hivo kama ni mtenda dhambi hutauona ufalme wa mungu.

Watenda mema watauona ufalme wa mungu. Watapewa uzima wa milele (notice hapa bado ni duniani, baada ya kila mtu kufufuliwa). Ni duniani hapahapa ila Kutakua hakuna vita, hakuna njaa, hakuna magonjwa, hakuna kifo. Hii ndio paradiso mungu aliokusudia mwanadamu kuishi, kabla ya adam na eva kufuck up! Summary ndogo tu hio...

Mambo ya jehanam na mbingun kuna mahal hizo story zilitokea, sanasana kwenye dini/imani za wagiriki ila sio biblia. Hata shetani haitwi lucifer, kulingana na biblia. Ukifuatilia mambo yote haya, historia yake utaona kabisa ni vitu vilitungwa tu, sio kwamba vilitoka kwa higher power... lol.

The more you know...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakushindwa ndio maana akaumba pepo au alishindwa na ndio maana akaumba pepo?
Hakushindwa mkuu

Ilq Kaamua aumbe Dunia ambamo tutaishi kwanza kisha kuna Pepo na moto

Si swala la kuweza au kutoweza ni swala la kuamua

Hahitaji ushauri wako wala wangu kuamua mambo yake, hahitaji ridhaa ya yoyote kupanga mambo yake, hahitaji kumridhisha yoyote yule hata wewe😂
Hapa tunahoji kupitia sifa zake.
Safi, kwahiyo unakubali uwepo wake? Maana tayari unahoji sifa zake tayari upo halfway kukiri uwepo wake
Mungu mwenye upendo wote hakupaswa kuwa na kazi chafu sehemu yeyote ile haijalishi ni ulimwenguni au wapi
Nani kasema? Nani wa kumpangia eti “hakupaswa” nani ameset hiyo standard kuwa ni lazima Mungu abehave hivi na vile?

By the way huko mbinguni unakokutaja kuwa ni sehemu nzuri na salama tunazo stori zake kuhusiana na vita iliyopigwa huko juu kati ya Mungu na shetani
Well, inategemea hiyo story umeitoa wapi?

Na nitafurahi ukinambia kuna binaadamu wamekumbwa na tetemeko huko mbinguni
Kwa records za vitabu vya dini tangu kuumbwa kwa ulimwengu na mbingu, vita ya kwanza kupigwa ilikuwa ni ile ya Mungu na shetan
Inategemea na source yako

Kama nikiandika kitabu nikakiita cha dinj kisha nikakupa story ya mbinguni utaikubali?
So kabla ya kuanza kutusimulia habari za mema ebu tuelezee iliwezekanaje hiyo vita kufanyika huko sehemu tukufu kiasi cha wewe kujifariji kuwa huko ni sehemu safe?
Hiyo vita inategemea na source yako😂

Hebu nukuu umetoa wapi hiyo story
 
Huyu mbu anaua mamilioni ya watu sasa pata picha combination ya mbu, simba, Dinasour na viumbe wengine hatari

Hebu fikiria kidogo
Haijalishi ni kwa kiwango kidogo ubaya unafanyika.

Cha msingi ni kwamba hakutakiwi kuwe na ubaya wowote kwenye kazi iliyofanywa na muweza wa yote na mwenye upendo wote.

Hiyo haiwezi kuwa justification linapokuja swala la kuelezea kitu ambacho kina uwezo wote na upendo wote

Nukta yeyote inayoonesha dosari lazima ichukuliwe kwa ukubwa otherwise tuondoe sifa zake
 
Sio tunasema
Ndiyo uhalisia

Yeye muweza yote asiyepangiwa na yoyite ameamua dunia iwe hivi halafu mbinguni iwe vile

Hakuna wa kubadili hilo mkuu
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa kwa kuamua mabaya yafanyike ni wazi hana upendo wote?
 
Kama hakuna haja ya kuwepo kingine ili uthibitishe kingine niambie unawezaje kuthibitisha Mungu yupo bila kutegemea kitu kingine?
Elewa nilichokiandika, napinga sharti unalo liweka. Sasa kama hata unachokiandika hukielewi hili ni tatizo lako.

Hata tunaposema Allah yupo ujue Kuna ishara za kuonyesha uwepo wake, kuanzia katika fitra (Innate disposition) na vingine. Nacho kataa hapa ni kile unacho DAI lazima uwe ume experience hicho kitu kwanza wakati siyo sahihi, kama nilivyokurudishia swali hilo juu ya jeep ushawahi ku experience kutokuwepo kwa ulimwengu mwingine mpaka ulimwengu huu uwe haujaumbwa ? Hujajibu swali hili.
 
Kipi kitadhibitisha kwamba upepo upo au aupo?
Ww kipindi wanafundisha jiografia ulkua unalala tu darasani?

Unajua wind sock ni nn? Ushaenda airport ukaona kitu kama hichi:

Screenshot_20230218-101902_Google.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂

Unafahamu the universe keeps expanding for every second that goes by?
You got me wrong

My question was not about how universe expanding

Huko mbinguni unakosema watu wataenda kuna kilomita ngapi za mraba kutosha watu bilion zaidi ya 7?
 
Biblia inasema kua mtu ukifa ndio habari yako imeishia hapo. Halafu mwisho wa siku atashuka yesu aje kufufua watu. Pia inaendelea kusema kua 'nafsi itaonja umauti' kwa maana hio kila mtu atakufa!
Sasa unaponukuu weka na vifungu ili iwe unaenda kisomi mzee
Wakishafufuka hao watu nini kinafata ?

Nataka nione mwisho wake kuwa wataenda peponi au ndio inakuwa imeisha

Maana mwanzo ulisema akifa ndio imeisha
Hapo sasa atapuliza parapanda na watu wote watafufuliwa, wa makaburi ya ukumbusho, maskini, matajir... wote watafufuliwa halafu hukumu itaanza...
Anhaa kumbe itaendelea…
Walio tenda mabaya ktk uhai wao adhabu yao itakua ni kifo (warumi 6:23). Hivo kama ni mtenda dhambi hutauona ufalme wa mungu.
Kwahiyo wadhambi watakufa tena😂
Halafu kuna watu wataenda peponi… okay okay (hapa ndipo nilikuwa napataka)
Watenda mema watauona ufalme wa mungu. Watapewa uzima wa milele (notice hapa bado ni duniani, baada ya kila mtu kufufuliwa). Ni duniani hapahapa ila Kutakua hakuna vita, hakuna njaa, hakuna magonjwa, hakuna kifo. Hii ndio paradiso mungu aliokusudia mwanadamu kuishi, kabla ya adam na eva kufuck up! Summary ndogo tu hio...

Vizuri sana, kwahiyo ulipoambiwa mbinguni ulidhani ni wapi?

Hili suala lq mbinguni ni wapi ni debatable

Kwa waislam ni kwamba mtu mwenye malipo madogo kabisa atalipwa sehemu yenye ukubwa wa mara kumi ya dunia hii (ibn masuud, sahih muslim)
Sasa hapo ni wazi kuwa sio duniani
Mambo ya jehanam na mbingun kuna mahal hizo story zilitokea, sanasana kwenye dini/imani za wagiriki ila sio biblia. Hata shetani haitwi lucifer, kulingana na biblia. Ukifuatilia mambo yote haya, historia yake utaona kabisa ni vitu vilitungwa tu, sio kwamba vilitoka kwa higher power... lol.
Nani alitunga?
The more you know...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom