Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu utoto unaelewa swali langu ? Kuwepo kwa jua hakuhitaji ithibati kijana. Sababu ni Self Evident. Kuhusu kipimo Cha joto la jua unaweza kutupa ushahidi walio pima jotoridi la Jua walipimaje pimaje ? Naona umeingia sehemu ambayo si yako.Jua linathibitishika kua lipo, linapimika nyuzi joto lake, linathibitishika kwa macho hadi kwa vipimo special
Na ndio maana huwesi kuta mjadala kuwa jua lipo au halipo
Baba yangu mzazi kuwa mkubwa kiumri hiyo ni factual ya statistics lakini bado haikunyimi nafasi ya kuweza kuthibitisha. Vipo vipimo vinavyopima umri wa vitu
Utasemaje hakuhitaji ithibati wakati tayari ushatumia ithibati za milango ya fahamu kukuonesha jua lipo?Huu utoto unaelewa swali langu ? Kuwepo kwa jua hakuhitaji ithibati kijana. Sababu ni Self Evident. Kuhusu kipimo Cha joto la jua unaweza kutupa ushahidi walio pima jotoridi la Jua walipimaje pimaje ? Naona umeingia sehemu ambayo si yako.
Huwezi Kuta mjadala wa jua sababu hakuhitaji ushahidi kuonyesha uwepo wake, sababu linaonekana. Kitu ambacho kinahitaji ushahidi ni kile amabacho siyo "Self Evident". Kama uwepo wa Mola hauhitaji ushahidi sababu ni "Self Evident". Mnao hitaji ushahidi ni wagonjwa wa akili na msio utaka ukweli, japo ishara za kuonyesha uwepo wa Mola ziko nyingi sana.
Kijana una akili ndogo sana, tuoe ushahidi ambao unahitajika kuthibitisha ya kuwa baba ako mzazi aliye kuzaa ni mkubwa kuliko wewe. Au ushawahi kusikia wapi wanathibitisha hili au kujadili hili ?
Ni wakati gani vipimo hivyo hutumika kupima umri ? Nataka ujenge hoja kwa mfano nilio utoa wa baba mzazi na mtoto. Halafu mnakataa kama hamna akili timamu.
Hili jibu sijawahi kujibiwa ila leo. Tuthibitishie hili. Kingine utuonyeshe kitu kinawezaje kujitengeneza chenyewe.Mbona unauliza swali ambalo kila sku linajibiwa dunia imejitengeneza yenyewe hakuna mtu alie husika
Kwa hiyo kuonekana sio sehemu ya ushahidi?Huwezi Kuta mjadala wa jua sababu hakuhitaji ushahidi kuonyesha uwepo wake, sababu linaonekana.
Kijana akili huna. Milango ya fahamu inakuwaje ithibati ? Naposema unapo ona jua, maana yake ushaliona tayari. Kuona kwako jua Kuna hitaji ushahidi gani kuonyesha jua lipo ? Elewa ithinati na ala ya kuona ithibati. Ithibati siyo hicho au milango ya fahamu ithibati ni kule kuwepo kwake.Utasemaje hakuhitaji ithibati wakati tayari ushatumia ithibati za milango ya fahamu kukuonesha jua lipo?
Sasa mbona kule mwanzo ulisema tena Kuna hitaji ushahidi ?Hakuhitaji ushahidi kwasababu kila mtu anathibitisha kupitia milango yake ya fahamu ngozi na macho
Wakina nani washawahi kwenda, sababu ulisema kuhusu jotoridi la Jua. Au ulisikia tu kwa watu na wewe ukabeba ?Mkitaka kwenda extra mnaweza kutumia vifaa kupima ku calculate nyuzi joto na distance lilipo.
Sasa kuona si umetumia macho ambayo ni moja ya milango ya fahamu?Kijana akili huna. Milango ya fahamu inakuwaje ithibati ? Naposema unapo ona jua, maana yake ushaliona tayari. Kuona kwako jua Kuna hitaji ushahidi gani kuonyesha jua lipo ? Elewa ithinati na ala ya kuona ithibati. Ithibati siyo hicho au milango ya fahamu ithibati ni kule kuwepo kwake.
Kuwepo kwako wewe kunathibitisha uwepo wa vingine. Una kubali Hilo una kataa. Sasa vipi kusiwe na Self Evident Truth. Ukiiona nyumba inakuonyesha mjenzi while nyumba na Msanifu wakez unakataa una kubali ? Sasa vipi Self Evident isiwepo ?Hakuna cha self evident truth
Kujua hili hakuhitaji Bailojia kijana, hii ni Self Evident Truth ndiyo maana watu hawashughuliki kujua kati ya baba na mtoto nani mkubwa. Uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.Biological Fact imasema kwamba mtoto hawezi kuwa mkubwa kumzidi mzazi kwasababu mzazi anatakiwa awe na umri wa kutosha kuweza kuzalisha mayai na sperm ambapo mchalato huo hutumia miaka mingi mpaka kukamilika.
Utasemaje haiwezekani kuthibitisha?
Kwenda extra haina maana watu waliwahi kwenda kwenye jua, jifunze kuelewa hoja kwanzaWakina nani washawahi kwenda, sababu ulisema kuhusu jotoridi la Jua. Au ulisikia tu kwa watu na wewe ukabeba ?
Ubongo wako Hauna shabaha,umeshindwa kung'amua hoja ya mtoa mada...Soma Tena toka mwanzo,taratibuMkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita
Ila ulichosahau ni kitu kimoja
Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.
Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.
Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo
Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibotishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa
Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.
Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya akifundishwa.
Sasa
Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?
Tunaweza tukathibotisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio ithibitisho wa Mungu asiyepimika?
Lakini pia
Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu mzuri?
Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora
Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Hapo ume assumeKuwepo kwako wewe kunathibitisha uwepo wa vingine. Una kubali Hilo una kataa. Sasa vipi kusiwe na Self Evident Truth. Ukiiona nyumba inakuonyesha mjenzi while nyumba na Msanifu wakez unakataa una kubali ? Sasa vipi Self Evident isiwepo ?
Kwasababu ubongo wangu sio sniperUbongo wako Hauna shabaha,umeshindwa kung'amua hoja ya mtoa mada...Soma Tena toka mwanzo,taratibu
Linapokuja swala la uthibitisho huwa haupaswi kutumia mazoeaKujua hili hakuhitaji Bailojia kijana, hii ni Self Evident Truth ndiyo maana watu hawashughuliki kujua kati ya baba na mtoto nani mkubwa. Uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
Yeah sure,ukienda porini ukakuta Kuna nyumba,hiyo nyumba itakua imejijenga yenyewe au Kuna mtu kajenga!?...swali rahisi tu,natarajia jibu fupiKwasababu ubongo wangu sio sniper