Atheists wana mtindio wa ubongo

Iko hivi..hata hao atheists wenyewe hawana ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu...bali wanajenga hoja zao kwa kujaribu kuutizama ulimwengu unaoonekana na wanaona mapungufu fulani...then wanaanza ku reason kuwa ikiwa huyo Mungu angekuwepo basi majanga, vifo, magonjwa, njaa, ajali n.k visingekuwepo.

Then wanahitimisha kuwa kwa vile hizo sifa za Mungu zinazosemwa hazilandani na uhalisia wa dunia ambayo inasemekana ameiumba, ambayo imejaa machafuko...basi huyo Mungu naye hayupo.

Atheists hawana huo ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu...bali wanajaribu kutengeneza inconsistencies kwenye hoja za wanaodai kuwa Mungu yupo.

kusema kuwa Mungu hayupo ni imani...yaani mtu anaamini hivyo. The same goes kwa wanaoamini uwepo wa Mungu..

Ukitaka kujua Mungu yupo, mruhusu ajifunue kwako...utaona yatakayo kushangaza...hakika Mungu muumbaji yupo.
 
Akili zao zimejawa giza kwa vile wamemkataa Mungu...ule ushahidi wa kawaida kabisa ambao unakupa uhakika wa uwepo wa Mungu wao wanaona maruweruwe.

wamekula chakula alichokiumba Mungu wakashiba, halafu wanamkataa mruzuku wao. Kamwe hauwezi kumjua Mungu kwa style wanayotumia atheists.

Mungu huwa anajifunua kwa yeyote amtakaye...hata hawa atheists wa humu iko siku watakutana na huyu Mungu wanayemkana. wengi watakuja tena kutoa shuhuda humu.
 
Hebu chek kuna kisiwa kinaitwa "Surtsey"

Kiliibuka kutokana na volcanic eruption, kilikua lifeless. Scientists wanakimonitor kuona jinsi life inavoform bila human intervention. Sive eco system inaanza kujitengeneza, from NOTHING!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What a load of bullshit!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna viumbe maji vita evolve kuwa nyani ngamia au faru hapo kisiwani njoo uniite mbwa nipo pale

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikujuze. Mtu etheist ni mwenye akili kubwa sana. Kua mwema au mbaya iko mkononi mwake sio kutishwa na kuingia motoni au kupewa rushwa ya kuingia mbinguni na kupewa binti bikra mzuri.
Iko hivi. Mungu hajaumba kitu. Ila binadamu ndio kamuumba mungu. Kutojua akifa inakuaje ndio chanzo cha fikra ya uwepo mungu kwa binadamu kote duniani. Kuamini mungu kaumba binadamu na vyote vilivyopo juu yake kwa siku sita ni ujinga tu wa binadamu (yaani kutojua)
(NB. kwa wale wataona mawaxo yangu yanawakera tusameheane)
 
Alaa sasa huwajui unatoa wapi nguvu ya kuwaweka hapa?
Mimi sipo hapa kukufundisha kuhusu Miungu mingine.

Hiyo ni Miungu inayoabudiwa na watu tofauti tofauti na ipo very compatibility na mada inayojadiliwa hapa

Na wewe kwasababu umesema kuwa Mungu ukimuabudu na ukatenda mema utapata pepo basi mimi nimekupa hiyo list ya Miungu unitaji kati hao ni yupi ambaye ana hiyo pepo?

Kwa hiyo angalia hapo kwenye list tafuta Mungu wako unayemzungumzia utuambie ni yupi kama na humuoni unaweza ukatuambia jina lake
 
Siyo sababu ya kiuzoefu tunasema uhalisia yaani kawaida jambo liko hivyo ukisema uzoefu, kwenye huwa kunakukosea na mapungufu kwenye uhalisia hakuna kukosea.
Mtu ambaye kasihi mazingira ambayo hakuna nyumba hakuna kitu chochote kinachoweza kumfanya apate ufahamu wa kujua nyumba

Mtu huyo ukija kumuonesha nyumba, atajuaje kuwa hii ni nyumba?
 
.

Sijawahi kuona ukiumbwa,
Kwa hiyo dhana ya kuumbwa umeitolea wapi?

Nikisema nikupunguzie maswali magumu nikitoe hapo kwenye ulimwengu nikupe nafasi ya wewe kuweka jambo lolote tofauti na ulimwengu

Ili tuone hoja ya kuumba ina make sense ebu nikuulize kwa namna nyingine

Uliwahi kushuhudia uumbaji wa kitu gani kingine achilia mbali ulimwengu ambao umekushinda?

Ili iwe ni fact ya kibusara kufikiria uumbaji upo?
 
, ila Nina ushahidi wa kuonyesha uliumbwa,
Huo ushahidi ulete, ila tuhakikishie kwanza chanzo chako ulipoutoa huo ushahidi, hicho chanzo ni valid kiaisi gani?
 
Hahhh Mkuu, unasema "Scientist wanakimonitor hicho kisiwa Ili kujua jinsi life inavyoform bila human intervention "

Kwani kuna Life ambayo imeform kutokana na Human intervention...!!!?

Maana huyo Human mwenyewe kama wewe hajajiform mwenyewe...... Ebu nifafanulie hapo tafadhali
 
kadhalika uhalisia.
Mtu anaye experience hallucinations kila anachokiona kwake ni real, hana hata uwezo wa kugundua kuwa yupo kwenye tatizo na hivyo kila kitu anachokiona kwake sio halisia.

Bado kuna illusion hiki ni kitu kingine ambacho kina relate kiasi na hallucinations ila hiki kime base kwenye misinterpretation

Unaweza ukaona

Nasiku hizi hadi pombe zinaweza mpa mtu mawenge akawa anaona watu wawili wawili, kitendo hicho kwake kinaweza kika sound kama uhalisia but wato waliomzunguka ndio wanajua.

Kwa hiyo kupitia changamoto hizo hapo juu hatuwezi kukubali kila kinachoitwa uhalisia kwasababu tu mleta madai kasema ni uhalisia

So hoja ya msingi kwanza ni

Uhalisia ni nini?

Na unaupimaje?

Utajuaje kama hiki ni uhalisia na sio kama umepotoka tu?
 
Huo ushahidi ulete, ila tuhakikishie kwanza chanzo chako ulipoutoa huo ushahidi, hicho chanzo ni valid kiaisi gani?
Mkuu, naomba kuuliza...hivi wewe una ushahidi valid kwamba haujaumbwa?
 
Mkuu, naomba kuuliza...hivi wewe una ushahidi kwamba haujaumbwa?
Kabla hujaniuliza kama nimeumbwa au lah kwanza ulipaswa kufafanua kuumbwa ni nini

Siwezi nikakurupuka kujibu swali ambalo hatujakubaliana hata maana ni nini
 
Hakuna record wakati wakati Nina ushahidi wa kimaandiko. Kijana uwe unasoma ninacho kiandika.
Ushahidi wa kimaandiko? unahakika gani kama haujawa deluded?

Unathibitisha vipi kama hayo maandiko yanasema ukweli?

Nakuona unatoka kwenye illusion unaenda kwenye delusion

Kwanini saa zote umekuwa ukichagua kupita njia mbovu?
 
Kabla hujaniuliza kama nimeumbwa au lah kwanza ulipaswa kufafanua kuumbwa ni nini

Siwezi nikakurupuka kujibu swali ambalo hatujakubaliana hata maana ni nini
No hujanielewa, ipo hivi nimeona hapo juu unataka uonyeshwe ushahidi valid kwamba umeumbwa ama la"HIYO TAYARI INAONYESHA WAZI KAMA UNAJUA NINI MAANA YA KUUMBWA"

Ndiyo maana na Mimi nikakuuliza, Je una ushahidi valid kama haujaumbwa??
 
Hili ni jambo la kimaumbile tayari lipo yaani uhalisia. .
Swali halijauliza kama ni jambo la kimaumbile au sio

Swali limeuliza ni wapi uliipatia dhana ya kuumbwa au kujiumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…