Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Iko hivi..hata hao atheists wenyewe hawana ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu...bali wanajenga hoja zao kwa kujaribu kuutizama ulimwengu unaoonekana na wanaona mapungufu fulani...then wanaanza ku reason kuwa ikiwa huyo Mungu angekuwepo basi majanga, vifo, magonjwa, njaa, ajali n.k visingekuwepo.
Then wanahitimisha kuwa kwa vile hizo sifa za Mungu zinazosemwa hazilandani na uhalisia wa dunia ambayo inasemekana ameiumba, ambayo imejaa machafuko...basi huyo Mungu naye hayupo.
Atheists hawana huo ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu...bali wanajaribu kutengeneza inconsistencies kwenye hoja za wanaodai kuwa Mungu yupo.
kusema kuwa Mungu hayupo ni imani...yaani mtu anaamini hivyo. The same goes kwa wanaoamini uwepo wa Mungu..
Ukitaka kujua Mungu yupo, mruhusu ajifunue kwako...utaona yatakayo kushangaza...hakika Mungu muumbaji yupo.