Huyo hakujibu hilo swali alilikimbia nami nikampungumzia mzigo kwa kuruhusu tuondoke kwenye hilo swali twende hatua inayofuataNo hujanielewa, ipo hivi nimeona hapo juu unataka uonyeshwe ushahidi valid kwamba umeumbwa ama la"HIYO TAYARI INAONYESHA WAZI KAMA UNAJUA NINI MAANA YA KUUMBWA"
Ndiyo maana na Mimi nikakuuliza, Je una ushahidi valid kama haujaumbwa??
Kama ni jambo lenye hakika na lisilo na shaka basi ushahidi wake utakuwa mzuriHii siyo dhana kijana bali ni hakika isiyo kuwa na shaka. .
Kupitia uchunguzi gani uliowahi kufanywa mpaka kuonesha ulazima wa hivyo viwili?. Kwenye uwepo wa kitu hutoki nje ya hali hizo mbili, aidha kusanifiwa (kuumbwa, kutengenezwa) na kinyume chake au kuwepo pasi na chochote na hivi viwili haviwezekani.
Uwepo wa gari ndio uumbaji?Mifano Iko mingi sana angalia uwepo wa gari, simu, nyumba na mingine. Kufumba ni kufanya kile ambacho hakipo kikawepo. Kile kinachokuwepo ndiyo kimeumbwa.
Umesema unaweza kuthibitisha uwepo wa kitu bila kutegemea kitu kingineMimi nimekuuliza kukuonyesha ya kuwa sharti lako la kuwa na backup ni dhaifu, ndiyo maana swali Hilo umeshindwa kulijibu mpaka muda huu.
Ebu nieleze huyo Albert Michelson alithibitishaje kuwa dunia haizunguki na kumpinga Albert Einstein?Sijakujibu wapi ? Ulizia swali lako.
Okay ntakujibu kwa mfano mwepesi,Kuumbwa....... Ni kama device unayotumia Kutype hapo,Haikuepo hapo mwanzo lakini ikaumbwa kwa style na design ya kipekee na kuifanya kwa sasa iwepo!!Huyo hakujibu hilo swali alilikimbia nami nikampungumzia mzigo kwa kuruhusu tuondoke kwenye hilo swali twende hatua inayofuata
Sasa kwa kulijua hilo kwanini usimsaidie mwenzako ukamjibia ili tufanye mjadala wenye tija?
Bado una reason kitotoNa ulivyo ulivyo mjinga kwahiyo bush wanaishi kwenye nini ? Nyumba mpaka iwe imejengwa Mjini nini tena kwa matofali nini ? Muda huo huo unaniambia nina reasoning ya kitoto huku hujui maana ya nyumba. Wewe wa kupigwa makofi.
Kwahiyo vile wanavyo Jenga vijijini ni viota vya ndege au magari yale ? Kijana huna akili kabisa, yaani imekaa unaminyana hapa kumbe hata nyumba juju ni nini na unaona kwa ujinga wako vijijini hamna nyumba.
Hii device walioifanya ikawepo wameitolewa maelezo tofauti na yakoOkay ntakujibu kwa mfano mwepesi,Kuumbwa....... Ni kama device unayotumia Kutype hapo,Haikuepo hapo mwanzo lakini ikaumbwa kwa style na design ya kipekee na kuifanya kwa sasa iwepo!!
Kwenye huo upendo yupo limited kiasi kuna vitu hawezi kuvifanya kwa upendo wote?Sifa zake yeye ni mwenye upendo
Matendo ya upendo yapo mengi
So hana sifa ya upendo wote?Yeye ni mkali wa kuadhibu
Kwa mtazamo wangu Mtu ambaye hajawahi kuiona Nyumban akioneshwa atajua tu kwamba hii ni NYUMBA.Mtu ambaye hajawahi kuiona nyumba, akioneshwa atajuaje hii ni nyumba??
Kwa mtazamo wako wewe KUUMBWA NI NINI?Hii device walioifanya ikawepo wameitolewa maelezo tofauti na yako
Wao wamesema ni utengenezaji na wakasema tuwaite mafundi wa kiinjinia upande wa tech
Sasa unahoja gani za kunifanya niwaone wao ni waongo ila maelezo yako wewe ndio bora?
Hata mwanasayans nguli wa quantum physics Albert Einstein aliwah kunukuliwa akisema "science without religion is lame and Religion without science is blind" Hivi vitu vinategemeana this is broad term.Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita
Ila ulichosahau ni kitu kimoja
Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.
Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.
Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo
Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibitishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa
Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.
Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya endapo akifundishwa.
Sasa
Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?
Tunaweza tukathibitisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio uthibitisho wa Mungu asiyepimika?
Lakini pia
Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu ni mzuri?
Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora
Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Walio muelezea kuwa ni mwenye upendo wote ndio walimuondolea ukomo wa yeye kutotakiwa kufanya mabaya kwenye kazi zakeNani anaweka ukomo wa nini Mungu anaweza na nini hawezi? [/SIZE]
Kuumbwa sijui ni nini, we unajua?Kwa mtazamo wako wewe KUUMBWA NI NINI?
Ndyo najua na nishakupa maelekezo yake.... Yani kuumbwa ni sawa na kusema kutengenezwa au kuundwa. So hakuna tofauti na hao waliosema device yao wameitengeneza.Kuumbwa sijui ni nini, we unajua?
Akili kubwa hi[emoji23]Salaamu wakuu.
Niende Moja kwa moja kwenye mada.
Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.
Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".
Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".
Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.
Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.
Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
Kwanza nina mashaka na hiyo Quote yako ikawa ni uzushi tu.Hata mwanasayans nguli wa quantum physics Albert Einstein aliwah kunukuliwa akisema "science without religion is lame and Religion without science is blind" Hivi vitu vinategemeana this is broad term.
Sema nyiny atheist IQ yenu ndogo sana hamuwezi kufikiria kufika huko.