Bado uko vagueNdyo najua na nishakupa maelekezo yake.... Yani kuumbwa ni sawa na kusema kutengenezwa au kuundwa. So hakuna tofauti na hao waliosema device yao wameitengeneza.
Weweeee kuwa na shaka na akili yako[emoji16] hyo quote ipo. Lakini kibaya zaidi hujaelewa hata mfano wangu umemaanisha.Kwanza nina mashaka na hiyo Quote yako ikawa ni uzushi tu.
Lakini pia mimi sishoboki na hao smart people kwasababu nao wapo kwenye naafasi kubwa ya kukosea.
Mimi nafata kitu kulingana na uthibitisho uliowekwa, mimi si.fati mtu anasemaje juu ya hicho kitu.
Mfano huyo Albert Einstein aliwahi kuja na theory inayosema kuwa ulimwengu uko stationary and unchanging, yani hautanuki wala haujongei
Baadaye alikuja kuwa debunked na ikaonekana alikosea, na yeye mwenyewe alikiri kuwa katika ujinga ameufanya ni kuifikiria universe katika namna ile.
So watu hawakumkubalia tu eti kwakua yeye yupo smart, watu walitaka uthibitisho kwanini hilo unalolisema ni kweli.
Vile vile kuna mipaka
Albert Einstein ni kweli ni mashuhuri na tunaukubali mchango wake kwenye maswala ya Relativity ila haina maana maoni yake kwenye maswala ya ndoa, dini, na mpira yanatakiwa yachukuliwe vilevile.
Gwajima anaweza akawa ni mchungaji watu wakawa wanapenda mahubiri yake kuhuusu mambo ya dini
Lakini haina maana atakuwa sahihi kwenye maswala ya siasa au mambo nyeti ya kiusalama kiasi umaumini kuwa Corona imesababishwa na mionzi ya mitambo ya network ya 5G
Nimesema hivi kuumba, kuunda na kutengeneza Mimi naona yote yana maana sawa..... Kama yana maana tofauti unaweza kufafanua mkuu Ili tujifunzeBado uko vague
Mimi naelewa kutengeneza, huwezi kusema kutengeneza huko ndio kuumba
Kama hilo neno ni sawa basi usingetumia neno kuumba ungesema tu kutengeneza
Umegundua kuwa kuumba ni tofauti na kutengeneza na ndio maana unashindwa kujenga hoja yako kwa neno kutengeneza
Zipo nyingi ndio nini sasa?Taja hizo sifa maana ziko nyingi
Nijue unareason kwa sifa ipi
Ni wewe unaona hivyo kwasababu iko hivyo au unaona hivyo baada ya kushindwa kutoa tafsiri?Nimesema hivi kuumba, kuunda na kutengeneza Mimi naona yote yana maana sawa..... Kama yana maana tofauti unaweza kufafanua mkuu Ili tujifunze
Nami sijasema umekubaliana na uwepo wake 😂
Nimesema upo half way, na half way sio sawa na kukubaliana
Hakuna mahali nimesema umekubaliana na uwepo wake
Relax😂
Of course hilo sio swali la msingi unless tuwe tulikubaliana from the begin kuwa mjadala wetu huu source ya maswali tutayokuwa tunaulizana tunapaswa kuchukua sehemu fulanihilo la nani kasema ni swali la msingi
Huwezi kulidismiss kama si kitu kwakuwa huwei kujibu
Nani kasema??
Ni wewe unaona hivyo kwasababu iko hivyo au unaona hivyo baada ya kushindwa kutoa tafsiri?
Uthibitisho wa mchakato wa kutengeneza kitu tunaweza kuupata
Uthibitisho wa kitu kilichoumbwa tunaweza tukaupata?
Huo ubaya mbona umeuthibitisha wewe kwa kukiri kuwa Mungu aliumba ulimwengu wenye mabaya ili kufanya balance of life.Mimi ninataka uthibitishe huo ubaya unaoujengea hoja si vinginevyo
Hapa umetumia uumbaji kama utengenezaji maana nina maswali mengi sana....Kwa kawaida, kuna njia mbalimbali za kuthibitisha kwamba kitu kimeumbwa na kinaweza kupatikana. Hapa ni baadhi ya mifano:
Usanifu, uundaji, utengenezaji vyote ni the same. Je hivyo vitu ndio kuumba?Usanifu wa kitu: Mara nyingi, kitu kilicho umbwa kinakuwa na usanifu maalum, ambao unaweza kufikiriwa na kubuniwa na mwanadamu. Usanifu huu unaweza kuwa wa kimitambo, kielektroniki, au wa kikemia, kulingana na aina ya kitu kinachohusika.
Atom ziliundwa au zimeumbwa?Uchunguzi wa kisayansi: Kuna njia mbalimbali za kisayansi za kuchunguza vitu na kugundua kwamba vimeumbwa. Kwa mfano, mwanasayansi anaweza kutumia darubini ya elektroni kuchunguza muundo wa atomi na molekuli katika kitu, au anaweza kutumia spectroscopy kutambua mali ya kemikali ya kitu.
Kama kipi na kipi ebu vitaje kimoja baada ya kingineVitabu vinavyodaiwa ni vya Mungu viko vingi
Can u be more specific?
Kinaitwaje?
Hata mimi naweza andika kitabu kisha nikadai cha Mungu vipii utakikubali?
Hebu tumia akili walau kidogo
Unatumia ubaya kuonesha chansi ya kuweza kuwepo kwa mazuri kupitia matokeo ya ubaya?Sijajipinga
Nilikupa umuhimu wa watu kufa kwa uhai wa viumbe duniani
Na huo umuhimu ni wa wazi kabisa
Huku kwingine tulijadili maisha baada ya kufa
Usijichanganye
Na ni la kweli kuwa jambo la watu kufa, jsi ambo zuri piaJambo ambalo ni la kweli
Wakati huo ulikuwa umetoka kusema kuwa duniani pasingetoshaOfcourse, nilikuwa nakuonesha kamq issue yako ni nafasi ya kuishi watu huko mbinguni basi nafasi ni ya kutosha
Mwanzo, ulisema hujui kuumbwa ni nini...Atom ziliundwa au zimeumbwa?
Sayansi gani hiyo inazungumzia habari za uumbaji?
Hiyo itakuwa pseudoscience
Safi shika hili