Atheists wana mtindio wa ubongo

Yes, mtu yoyote mwenye akili timamu akiona Roboti au gari, au simu atajua tu kama hivyo vitu vimeumbwa.., Kwasababu gari, Roboti na simu haviwezi Kujiumba vyenyewe..., So tayari huo unakua uthibitisho kwamba hivyo vitu vimeumbwa!
 
Napinga kulingana na reference za atom zilivyoelezwa na sayansi

Sayansi haiongelei vitu katika angle ya uumbaji.

Uumbaji ni dhana inayopatikana kwenye dini that's why kuna creation theory inayojihusisha na dini na kuna evolution ya kisayansi

Sasa ukiniambia atom zimeumbwa itabidi uniambie ni sayansi ya wapi hiyo iliyokuwa inapimgana na creation wakati nayenyewe inajihusisha na masala hayo hayo?

Kuhusu swali lako sijui majibu yake

Nikupe maana ya kuumbwa?

Kuumba ni wazo la kiimani katika dhana ya dini lenye kuhusisha miujiza kwa process ya Mungu kufanya kitu kuwepo pasipo kutegemea chochote (from nothing to something)

Uumbaji unafanyika kwa kutaja tu kitu na hicho kitu kinatokea.

Kwa muktadha wa dini uliumbwa ulimwengu na vilivyomo kwa kutamkwa tu na huo ndio uumbaji

Lakini kwenye ishu ya mtu haikuwa uumbaji, ulifanyika utengenezaji kwa kuchukua udongo (ambao upo) na kuufinyanga kupata product nyingine (mtu) kisha huyo Mungu akapuliziwa pumzi

Ni jambo ambalo ni la kufikirika halijawahi kuthibitishwa

At least ungejibu hivi
 
Yes, mtu yoyote mwenye akili timamu akiona Roboti au gari, au simu atajua tu kama hivyo vitu vimeumbwa.., Kwasababu gari, Roboti na simu haviwezi Kujiumba vyenyewe..., So tayari huo unakua uthibitisho kwamba hivyo vitu vimeumbwa!
Toa neno kuumbwa hapo
 
Mimi sipo kwenye masuala ya dini. Nipo hapa kujifunza zaidi.... Neno "KUUMBA" sidhani kama ni lazima ulihusishe na dini... Mfano mtu anaweza kusema"Nimeumba Tonge" na anakua yupo sahihi ✅

Hivyo, basi hiyo maana uliyotoa hapo sio lazima iwe sawa bali inategemea na muktadha ambao utaamua kulitumia hilo neno.


Nadhani,, tupo pamoja Mkuu Scars
 
Kufa si kubaya mara zote maana unapokufa unatoa nafasi kwa maisha mengine kuanzia mabaki yako mpaka resources tunazohitaji ili tuishi
Kufa ni kubaya, mpaka kukifikia hicho kifo watu wanapitia mateso makubwa sana

Kufa ni kubaya kwasababu kunatutenganisha sisi na wapendwa zetu ambao tulitaka kuendelea kuwa nao pamoja.

Kifo ni kibaya na ndio maana hata masheikh wakiumwa wanakimbilia hospitali kujitibu ili wasife kizembe

Kifo kisingekuwa kibaya na kwamba kuna maisha mazuri huko mbinguni basi watu wangekuwa wanafurahia kufa.

Kusingekuwa na hospitali na sasa naona hadi taasisi za kidini ziko mstari wa mbele kujenga hospitali za kisasa na kuwaajiri madaktari bingwa ili tu wazuie kifo
 
Hautakuwa sahihi

Ili uwe sahihi hilo tonge unabidi uliumbe from nothing to something
 
Kuhus space kutanuka ni kwamba huko tuendako yani afterlife kama physical space is your concern basi usijisumbue maana nafasi inatanukq kwa kasi sana kila sekunde
Huko tuendako wapi?

Umethibitisha vipi kuwa kuna after life?

Na umeyajuaje hayo?
 
Ushahidi wa Mungu kuumba dunia na vingine uko wapi kama yeye alitoka from nothing kwanini sisi isiwe ivo?
Kuna kitu gani hapa duniani unachotumia ambacho kinajizalisha chenyewe? Ushahidi wa Mungu wa kuumba kila kitu mbona uko wazi mkuu? Ushahidi unaanzia hapa, Ikiwa, kila kitu unachotumia wewe sasa hivi, iwe ni simu au nyumba unayolala imejengwa na mtu basi hata hii dunia kuna nguvu iloyotengeneza. Na nguvu hiyo ndiyo tunayo iita Mungu.
 
Hautakuwa sahihi

Ili uwe sahihi hilo tonge unabidi uliumbe from nothing to something
Basi hapo utakua unalazimisha maana mkuu,...

So, umesema hujui kati ya Dunia na Mtu kipi kilianza ku_exist?(Nadhani hili swali ni muhimu katika kujua ilkuaje kuaje vitu vikatokea)
 
Hayo ni maoni yako au una literature backing?

Kamq maoni yako uko huru kusema chochote
Katika zile post zangu ambazo hujauliza hili swali, ulikuwa unajibu ukiwa unajua kuwa ni maoni ya nani?
 
Vitu vyote unavyotumia hapo sasa hivi kuna mtu amevitengeneza. Havijaja tu vyenyewe tu. Bila kutengenezwa na mtu hivyo vitu visingekuwapo. Kwa mantiki hiyo hiyo, hata hii dunia haikujiumba yenyewe, kuna nguvu iliyo jenga hii dunia. Na nguvu hiyo ndiyo inayoendesha hiii dunia. Nguvu hiyo ndiyo watu huita Mungu mwenyewe. Unaweza usiite Mungu, lakini watu husema Mungu kurejea nguvu iliyo sababisha dunia hii kuwapo
 
Hujajibu swali

Umetaja umetoa kwenye scripture nakuuliza which scripture?
Nimekujibu scripture ambayo imedaiwa kuwa ni maneno ya Mungu au kuandikwa na watu walioongozwa na Mungu

Kama unaonesha wasiwasi niambie kama kuna nafasi kitabu kilichodaiwa ni kitabu cha Mungu kuwa kikawa ni kitabu cha uongo
 
Mkuu siyo vitu vyote vinalinganishika na vitu vingine. Kwa mfano kama wewe hivi tutakulinganisha na nani hapa duniani? Ulimwengu ni mmoja tu mkuu kutokana na aliyetengeneza huu ulimwengu kuamua uwe mmoja.
 
Nami nimekueleza kuwa kama wewe huelewi utendaji wake haina maana amekosea

Na ili awe sahihi (kwq mtazamo wako) halazimiki kuendana na maoni yako scars
Bado unarudi pale pale

This is not about my opinions and POV

Kwenye kazi iliyofanywa na mwenye upendo wote halafu kukawepo kwa mabaya kunaonesha ni logical contradiction

Ni ether ukubali kuwa hana upendo wote ili tuone ni fact kusema ulimwengu huu wenye mabaya umeumbwa na yeye

Au usema ni mwenye upendo wote halafu tukakosa reference ya kumhusisha na uumbaji wa ulimwengu
 
Absolutely, na mpia ni mkali wa kuadhibu.
Kumbe ukiachana na sifa ya upendo wote ambayo inapingana na ulimwengu huu, kumbe pia hana uwezo wote

Hana uwezo wote wa kufanya vitu viende kama anavyotaka na ndio maana anachukia kuona vikienda vice versa kwasababu hana uwezo wakufanya mambo yaende kama anavyotaka
 
Kwanini ushindwe kuthibitisha mlima Kilimanjaro upo bila kutegemea uwepo wa kitu kingine?

Nataka nijue, inawezekana kuthibitisha Mungu bila kutumia kitu kingine au haiwezekani?

Mungu wako anahitaji kitu kingine kama msaada ili athibitishike yupo au anajitosheleza yeye kama yeye bila kuhusisha kitu kingine?

Hilo swali hata mimi naliogopa
 
Nikujibu mara ngapi ? Uhalisia upo haina mbadala kijana. Uwe unasoma nanchokiandika. Uhalisia haupingani na akili iliyo salama.

Kupotoka ni katika udhaifu aidha wa vitendea kazi au muhusika mwenyewe ila uhalisia upo.

Sasa kama umejua kupotoka ni udhaifu na ukipotoka huwezi kujua kuwa umepotoka mpaka pale utapotolewa gizani

Tuambie hayo madai unayoyadai kuwa ni uhalisia unajuje kuwa ni uhalis kweli na sio illusion, delusion au hallucinations tu?
 
Uulize maswali ya maana. Chochote ambacho kipo kinyume na hali halisi, hicho hakipo kama kilivyo. Kwahiyo ni juu yako kuangalia kipi ni kipi.
Kitaje sasa halafu tukione ni kwa namna gani hicho kitu sio halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…