hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Yes, mtu yoyote mwenye akili timamu akiona Roboti au gari, au simu atajua tu kama hivyo vitu vimeumbwa.., Kwasababu gari, Roboti na simu haviwezi Kujiumba vyenyewe..., So tayari huo unakua uthibitisho kwamba hivyo vitu vimeumbwa!Hapa umetumia uumbaji kama utengenezaji maana nina maswali mengi sana....
Wakati unafanywa huo uchunguzi kunakuwa na hiyo recognition ya uumbaji kwamba ni jambo ambalo linafahamika kwasababu record zinaonesha lishawahi kuthibitishwa?
Yani hao watu wanotafiti wanakuwa wana hiyo concept ya personal experience iliyowahi kuthibitishika kuwa uumbaji upo?