Atheists wana mtindio wa ubongo

Nielimishe evolution inavoendelea kutokea please with proof kama ilivosema

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
So u still proving that life might be came from somewhere not from nothing. Kama hizo meteorite zilikuwa na componets za life(dna) na zika crush hapa duniani ambazo my be ndio zilizoform life as we know it billions years ago
Swali la kujiuliza where did they come from
Why here on earth life can be sustained and not in moon or mars or venus, Mercury whatever of it happen accidentally
Dna by itself is too systematic and complicated to be formed accidentally someone must have designed it

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu assume hauna ushaidi wa wewe kuumbwa na kesi imekushinda then turudi kwake atupe ushahidi wa yeye kutokuumbwa na namna hii universe ilivo happen to be

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Hahhh Mkuu ushahidi atautoa wapi hapo..... Atasema tu hajui anasubiri wanasayansi wamtafutie ushahidi.
Yani Mtu ana akili lakini hataki kuitumia kwenye kujua mambo yapoje anasubiri mpaka watu ambao na wenyewe wala hawana uhakika wala ushahidi wowote ndyo wamsaidie.... Ukitaka kujua hilo kuna mwamba hapo juu Kentsuhcy Wrudate anasema 2010's "ilicrush meteorite moja duniani, ilikua na components za DNA! Scientists wakachunguza wakaona ungeweza kutengeneza cell hai kupitia hio meteorite. Kilipotoka ndio hatujui.."
•Sasa bwana Kentsuhcy Wrudate kutokana na Imani yake kubwa kwa wanasayansi ameshindwa hata kutumia akili yake kujiuliza Kwani cell hai na DNA tukiviweka tu sehem kusiwe na intervention yoyote ya Mtu au kiumbe chochote kama cell hai na DNA vitaweza kujiunda na kuwa kiumbe kamili..!?
 
Wanadini Kwa upande wenu Kuna mahali mnakosea, mtu anapokua na mtazamo tofauti na wenu mnamshambulia na maneno ya kejeli mf: ana akili ndogo, ana upungufu wa akili, utindio wa ubongo,

Yote hayo hayana maana kinachohitajika ni kumthibitishia kwamba MUNGU yupo na hata asipokuelewa uwe mwenye subira huku ukiendelea kumhubiria na kumuelewesha taratibu, sasa unapomkejeli humsaidii ila unazidi kumpoteza
 
Probably not!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio probably,... It's surely not!

Ndiyo maana hata hao Wanasayansi unaowaamini wakielezea evolution theories zao... Utakuta kwa mfano kwa kwenye evolution of Man wanaanzia kwa primates(apes& monkey) ukiwauliza hao primates walitokea wapi!?...... BILA SHAKA HAWAJUI!!

Kwenye meteorite ambazo umesema zimeanguka wakakuta cell hai na DNA. ..... Mwenyewe umekiri hapo kwamba hata HAWAJUI imetokea wapi.

so,kwa mazingira kama hayo utawaamini vipi watu ambao wao wenyewe HAWAJUI kile ambacho wewe unawachukulia kama reference.
 
Anataka umuonyeshe huyo mjenzi wa dunia na ikiwezekana umpeleka alipo Ili wazungumze
 
Sasa mwenzio kakataa kukubali mpaka tafiti za kisayansi zithibitishe uwepo wa huyo aliyeumba ndio mnapotofautiana Imani inakuja Kwa kusikia na kuamini ila sayansi inataka uthibitisho usioacha shaka au maswali na hii ndio tofauti ya Imani na sayansi
 
So kama haukutokea accidentally ni mungu ndo kautengeneza? Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini enyi watu?
 
Yap kiimani upo sahihi kabisa kabisa ila kisayansi huwezi kuthibitisha ndio maana tafiti zinaendelea mpaka tupate majibu upande wa sayansi maana upande wa kiimani mlishapata majibu japo bado ni theory
 
Katika teleological arguments za kuthibitisha uwepo wa intelligent designer, hii analogy ya watchmaker ni hoja dhaifu mno

Ilishakuwa debunked kitambo kabla hata huyo Baley haja publish kitabu chake
 
Ndio maana tunasema natural power; Mungu hana chanzo, bali yeye ndio chanzo cha mengine yote! Unapohesabu unaanza na moja (iwe uelekeo wa kulia au kushoto), lakini vyote hivyo vinapimwa kutokea 'origin'. Mungu ni alfa na omega!
Sasa wewe unaamini Mungu yupo ila Hana chanzo wengine wanaamini dunia IPO ila Haina chanzo halafu mnachekana[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Haiwezekani pawe na barabara na alama za barabarani halafu pasiwepo aliyejenga barabara na kuweka alama
Sasa kama dunia Ina chanzo Kwa Nini huyo aliyeumba asiwe na chanzo? Swali lipo hapo
 
Atajuaje kuwa ile ni nyumba na hawakuwahi kuiona kabla?
 
Mimi sipo hapa kukufundisha kuhusu Miungu mingine.
Hupo hapa kutufundisha kuhusu Mungu au hata hujui kuhusu Mungu?

Kaka hujui ukianzaje kuchangia in the first place

Umetoa list na ukaita ni ya miungu nakutaka uwaelezee kadri unavyowajua

Usikimbie swali kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…