Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Yani hawa mjadala ni simple sana kuumaliza, waprove tu kwamba mungu yupo basi. Halafu why wamtetee kama yy ni higher being, why asijitetee mwenyew?

Evolution tunaweza kuiprove maana tunaona bado inaendelea kutokea, na wao waprove uumbaji basi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nielimishe evolution inavoendelea kutokea please with proof kama ilivosema

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Aya yako ya mwisho, naipinga. Sio necessary kuwe na muumbaji. Miaka ya 2010s ilicrush meteorite moja duniani, ilikua na components za DNA! Scientists wakachunguza wakaona ungeweza kutengeneza cell hai kupitia hio meteorite. Kilipotoka ndio hatujui..

Okay, nilikua ninatafuta jina ya hio meteor, nimeona kumbe ni since 1969 vitu kama ivo vinagunduliwa, na in multiple places. Kwahio in right conditions in time probably biotic would form.

Sent using Jamii Forums mobile app
So u still proving that life might be came from somewhere not from nothing. Kama hizo meteorite zilikuwa na componets za life(dna) na zika crush hapa duniani ambazo my be ndio zilizoform life as we know it billions years ago
Swali la kujiuliza where did they come from
Why here on earth life can be sustained and not in moon or mars or venus, Mercury whatever of it happen accidentally
Dna by itself is too systematic and complicated to be formed accidentally someone must have designed it

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu assume hauna ushaidi wa wewe kuumbwa na kesi imekushinda then turudi kwake atupe ushahidi wa yeye kutokuumbwa na namna hii universe ilivo happen to be

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Hahhh Mkuu ushahidi atautoa wapi hapo..... Atasema tu hajui anasubiri wanasayansi wamtafutie ushahidi.
Yani Mtu ana akili lakini hataki kuitumia kwenye kujua mambo yapoje anasubiri mpaka watu ambao na wenyewe wala hawana uhakika wala ushahidi wowote ndyo wamsaidie.... Ukitaka kujua hilo kuna mwamba hapo juu Kentsuhcy Wrudate anasema 2010's "ilicrush meteorite moja duniani, ilikua na components za DNA! Scientists wakachunguza wakaona ungeweza kutengeneza cell hai kupitia hio meteorite. Kilipotoka ndio hatujui.."
•Sasa bwana Kentsuhcy Wrudate kutokana na Imani yake kubwa kwa wanasayansi ameshindwa hata kutumia akili yake kujiuliza Kwani cell hai na DNA tukiviweka tu sehem kusiwe na intervention yoyote ya Mtu au kiumbe chochote kama cell hai na DNA vitaweza kujiunda na kuwa kiumbe kamili..!?
 
Huu utoto unaelewa swali langu ? Kuwepo kwa jua hakuhitaji ithibati kijana. Sababu ni Self Evident. Kuhusu kipimo Cha joto la jua unaweza kutupa ushahidi walio pima jotoridi la Jua walipimaje pimaje ? Naona umeingia sehemu ambayo si yako.

Huwezi Kuta mjadala wa jua sababu hakuhitaji ushahidi kuonyesha uwepo wake, sababu linaonekana. Kitu ambacho kinahitaji ushahidi ni kile amabacho siyo "Self Evident". Kama uwepo wa Mola hauhitaji ushahidi sababu ni "Self Evident". Mnao hitaji ushahidi ni wagonjwa wa akili na msio utaka ukweli, japo ishara za kuonyesha uwepo wa Mola ziko nyingi sana.

Kijana una akili ndogo sana, tuoe ushahidi ambao unahitajika kuthibitisha ya kuwa baba ako mzazi aliye kuzaa ni mkubwa kuliko wewe. Au ushawahi kusikia wapi wanathibitisha hili au kujadili hili ?

Ni wakati gani vipimo hivyo hutumika kupima umri ? Nataka ujenge hoja kwa mfano nilio utoa wa baba mzazi na mtoto. Halafu mnakataa kama hamna akili timamu.
Wanadini Kwa upande wenu Kuna mahali mnakosea, mtu anapokua na mtazamo tofauti na wenu mnamshambulia na maneno ya kejeli mf: ana akili ndogo, ana upungufu wa akili, utindio wa ubongo,

Yote hayo hayana maana kinachohitajika ni kumthibitishia kwamba MUNGU yupo na hata asipokuelewa uwe mwenye subira huku ukiendelea kumhubiria na kumuelewesha taratibu, sasa unapomkejeli humsaidii ila unazidi kumpoteza
 
Probably not!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio probably,... It's surely not!

Ndiyo maana hata hao Wanasayansi unaowaamini wakielezea evolution theories zao... Utakuta kwa mfano kwa kwenye evolution of Man wanaanzia kwa primates(apes& monkey) ukiwauliza hao primates walitokea wapi!?...... BILA SHAKA HAWAJUI!!

Kwenye meteorite ambazo umesema zimeanguka wakakuta cell hai na DNA. ..... Mwenyewe umekiri hapo kwamba hata HAWAJUI imetokea wapi.

so,kwa mazingira kama hayo utawaamini vipi watu ambao wao wenyewe HAWAJUI kile ambacho wewe unawachukulia kama reference.
 
Mbona maelezo insha babu!!?..miguu SITA na blaa blaa zingine ni jitihada zako za kutaka kufukia uwepo wa mjenzi,turudi kwenye dunia yetu na vilivyomo,kwa mpangilio wake,vipi akili yako haikutumi kwamba Kuna mjenzi wa dunia Kama ile nyumba kule porini!?
Anataka umuonyeshe huyo mjenzi wa dunia na ikiwezekana umpeleka alipo Ili wazungumze
 
Kwa hiyo scars, unafikiri ni nini chanzo cha dunia? Je, ilijiweka yenyewe?! Labda nikuulize kitu kimoja; katika tafiti nyingi zinazofanyika, kwa jambo lolote lile, je, wanasema matokeo (findings) waliyopata ndio majibu ya mwisho katika utafiti huo? Mbona wanapoishia wanaruhusu watu wengine waendeleze; kwa maana walipofika wao sio mwisho wa utafiti? Sasa hilo 'gap' ambalo wameshindwa kulifidia ndio nguvu ya Mungu mwenyewe! Hawawezi kumfikia Mungu, na huo ndio mpaka kati yetu na Mungu. Jamani, ifike mahali tukubali kuwa kuna natural power, ambaye ndio Mungu mwenyewe!
Sasa mwenzio kakataa kukubali mpaka tafiti za kisayansi zithibitishe uwepo wa huyo aliyeumba ndio mnapotofautiana Imani inakuja Kwa kusikia na kuamini ila sayansi inataka uthibitisho usioacha shaka au maswali na hii ndio tofauti ya Imani na sayansi
 
Ok embu tulieweke suala la mungu pembeni basi tusaodie tupate maarifa namna ya huu ulimwengu na uhai na mwili wa viumbe hai ambao upo very complicated ulivojitokeza. Maana it soo sophisticated and systematic to happen accidentally

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
So kama haukutokea accidentally ni mungu ndo kautengeneza? Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini enyi watu?
 
So hoja yako ni kutoonekana kwa huyo Mungu tunayeamini yupo siyo,ok..site tunaamini umeme upo,kadhalika upepo,lakini ulishawahi uona umeme au upepo!?..laa hasha,Bali tunaona athari zake,umeme kupitia taa zinazowaka au vifaa vingine vya umeme na upepo kwa namna upeperushavyo vitu na tunavyou-feel,Sasa dunia Inajizungusha kwenye muhimuli wake na kuzunguka jua ili tupate majira ya mwaka ambayo yanasapoti maisha yetu,dunia Ina zone yenye hewa ambayo tunatumia pua kupumua ili tuendelee kuwa hai,pua ilijuaje kwamba duniani Kuna hewa tutahitaji Vuta Hadi ikawa pale,macho yalijuaje Kuna mwanga utakaoyawezesha kuona yakawa hapa!?..hii ni dalili kwamba Kuna mtu alipanga haya na akaya-engineer
Yap kiimani upo sahihi kabisa kabisa ila kisayansi huwezi kuthibitisha ndio maana tafiti zinaendelea mpaka tupate majibu upande wa sayansi maana upande wa kiimani mlishapata majibu japo bado ni theory
 
Kinachonishangaza hawa watu ukiwaambia injini ya gari imejitengeneza kwa bahati tu watakwambia injini too sophisticated to happen accidentally ila ishu ya hivi viumbe na hii very complicated and systematic universe wanadai imetokea accidentally bila ya kuwa na creater

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Katika teleological arguments za kuthibitisha uwepo wa intelligent designer, hii analogy ya watchmaker ni hoja dhaifu mno

Ilishakuwa debunked kitambo kabla hata huyo Baley haja publish kitabu chake
 
Ndio maana tunasema natural power; Mungu hana chanzo, bali yeye ndio chanzo cha mengine yote! Unapohesabu unaanza na moja (iwe uelekeo wa kulia au kushoto), lakini vyote hivyo vinapimwa kutokea 'origin'. Mungu ni alfa na omega!
Sasa wewe unaamini Mungu yupo ila Hana chanzo wengine wanaamini dunia IPO ila Haina chanzo halafu mnachekana[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Haiwezekani pawe na barabara na alama za barabarani halafu pasiwepo aliyejenga barabara na kuweka alama
Sasa kama dunia Ina chanzo Kwa Nini huyo aliyeumba asiwe na chanzo? Swali lipo hapo
 
Kwa mtazamo wangu Mtu ambaye hajawahi kuiona Nyumban akioneshwa atajua tu kwamba hii ni NYUMBA.

NAJUA UNAJIULIZA KIVIPI?
Okay, ipo hivi kwanza tunapaswa tujue Nyumba Ni Nini?!
Nyumba ni jengo lenye shabaha au lengo la kuwapa watu makazi au nafasi ya kuishi humo"

hivyo basi mtu mwenye akili timamu hata kama hajawahi kuiona nyumba, akionyeshwa jengo linarohusu watu kuweka makazi au Kuishi humo, ATAJUA TU KWAMBA HII NI NYUMBA!
Atajuaje kuwa ile ni nyumba na hawakuwahi kuiona kabla?
 
Mimi sipo hapa kukufundisha kuhusu Miungu mingine.
Hupo hapa kutufundisha kuhusu Mungu au hata hujui kuhusu Mungu?
Hiyo ni Miungu inayoabudiwa na watu tofauti tofauti na ipo very compatibility na mada inayojadiliwa hapa

Na wewe kwasababu umesema kuwa Mungu ukimuamuda na ukatenda mema utapata pepo basi mimi nimekupa hiyo list ya Miungu unitaji kati hao ni yupi ambaye ana hiyo pepo?

Kwa hiyo angalia hapo kwenye list tafuta Mungu wako unayemzungumzia utuambie ni yupi kama na humuoni unaweza ukatuambia jina lake

Kaka hujui ukianzaje kuchangia in the first place

Umetoa list na ukaita ni ya miungu nakutaka uwaelezee kadri unavyowajua

Usikimbie swali kijana
 
Back
Top Bottom