Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Plenty. Hata hawa viumbe walioko saiv wako btn transitionDo you have concrete evidence even for animal who were in beetwen transformation form earlier species to modern species
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Mkuu ana UpendoKwenye huo upendo yupo limited kiasi kuna vitu hawezi kuvifanya kwa upendo wote?
Ni upendo ambao uko perfect au ni kama huu tulionao sisi ambao unaweza kuathiriwa na vitu vingi ikiwa na mapungufu yetu?
Asee ndio maana nilikuuliza are u familiar with semantics? Mpaka leo hujajibuZipo nyingi ndio nini sasa?
Unakuwa unafanya utoto ule ule wa kukubali jambo kuwa lipo ila unataka utajiwe na jambo lingine kama hilo
Nilikuambia ulimwengu una mabaya, ukaja na hoja ya Dinosaur kuwa wangeufanya ulimwengu kuwa mbaya zaidi.
Hoja yako haioneshi kuwa mabaya hayapo ila unataka kuonesha afadhali kwa kupoint kitu kingine ambacho ni kibaya zaidi kuliko ubaya wa vingine
Mimi nakuambia sifa za Mungu kuhusu upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote. wewe unasema sifa zipo nyingi
Ndio nini sasa?
Nakuuliza tena are u familiar with semantics?😂Zipo nyingi ina maana hizo nilizokutajia sio za kweli hazimuhusu huyo Mungu wako?
Palikua na mjenzi ndio, na huyo mjenzi ana chanzo chake Kwa maana kwamba ana waliomzaa sasa vipi kuhusu huyu mjenzi wa Dunia maana Kila kitu kina chanzo? Hili ndio hamtaki kulijibuAliyejenga dunia nani!?..maana ile nyumba ya porini tumekubalia a sharti palikua na mjenzi
HapanaUkisema natural unamanisha ni kitu ambacho Mungu hapaswi kuhusika nacho kwa athari zake kwasababu kinafanyika bila approval yake?
Chanzo kisichokua na chanzo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazinguaSoma Second Law of Thermodynamics na mambo ya Entropy hakuna Infinity Series katika uhalisia kijana. Achana na ngano za Wanasayansi na makubaliano ya kimahesabu.
Maumbile yalihitaji chanzi kisichokuwa na chanzo.
Unaona ulivyo sasa?Katika zile post zangu ambazo hujauliza hili swali, ulikuwa unajibu ukiwa unajua kuwa ni maoni ya nani?
Am sure hujafanya research kwenye hiliKufa ni kubaya, mpaka kukifikia hicho kifo watu wanapitia mateso makubwa sana
Ni kweli, kwa tunaoamini tunatengana nao kwa kitu bora zaidi ambacho ni kukutana na Muumba wetuKufa ni kubaya kwasababu kunatutenganisha sisi na wapendwa zetu ambao tulitaka kuendelea kuwa nao pamoja.
Siyo kweliKifo ni kibaya na ndio maana hata masheikh wakiumwa wanakimbilia hospitali kujitibu ili wasife kizembe
Again, hujafanya researchKifo kisingekuwa kibaya na kwamba kuna maisha mazuri huko mbinguni basi watu wangekuwa wanafurahia kufa.
Kusingekuwa na hospitali na sasa naona hadi taasisi za kidini ziko mstari wa mbele kujenga hospitali za kisasa na kuwaajiri madaktari bingwa ili tu wazuie kifo
Kingine huyu scars Hana hasira kabisa Wala hajapanik japo unamkejeli na dhihaka za Kila aina hii nayo ni tofauti nyingine kati ya wafia dini na watafiti, wanadini mkishindwa na hoja ni jazba halafu matokeo yake kutukana [emoji23][emoji23] Kwa hili hata Mwenyezi Mungu anawashangaaOnyesha mazoea yako wapi. Nikikuuliza swali rahisi sana Unapoona nyumba au ukiona nyumba unahitaji ushahidi kuonyesha ya kuwa nyumba imejengwa haijajinga ? Au ukiiona nyumba utauliza hii nyumba imekujaje au utauliza hii nyumba ameijenga nani ?
Akili huna kijana.
Kila kitabu kina jina kijana😂Nimekujibu scripture ambayo imedaiwa kuwa ni maneno ya Mungu au kuandikwa na watu walioongozwa na Mungu
Kama unaonesha wasiwasi niambie kama kuna nafasi kitabu kilichodaiwa ni kitabu cha Mungu kuwa kikawa ni kitabu cha uongo
Niambie ni sayansi ipi iliyokuwa inapingana na creation theory?Mimi sijatoa maana ya Uumbaji kwa mujibu wa Creation kwenye dini, bali nimetoa maana HALISI ya Hilo neno kuumba bila kulazimisha liendane na Creation theory kama unavyotaka wewe.
Ipo hivi.., Yes, the word "creating" can certainly be used in a scientific context, particularly when discussing the process of generating or developing something new, such as a hypothesis, theory, model, experiment, or technology. In scientific research, creating may involve designing and carrying out experiments, developing mathematical models, designing new materials or chemicals, or programming new algorithms or software.
For example, a researcher might say "We are creating a new experimental setup to investigate the effects of temperature on plant growth" or "Our team is working on creating a new model to explain the behavior of subatomic particles." So, it is not uncommon to see the term "creating" used in scientific literature and research.
Majibu ya mtu anayemwamini Mungu hayaBiblia inasema wazi wapumbavu hawaamini juu ya uwepo wa Mungu Kwa hiyo jambo la kwanza atheist ni wapumbavu,hata uwatwange kwenye kinu upumbavu wao haukomi
Fuatilia tu historia ya mambo. Ila nitakuelezea kdg.Nielimishe evolution inavoendelea kutokea please with proof kama ilivosema
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Its all about your opinion mkuuBado unarudi pale pale
This is not about my opinions and POV
Vizuri sanaKwenye kazi iliyofanywa na mwenye upendo wote halafu kukawepo kwa mabaya kunaonesha ni logical contradiction
Ni ether ukubali kuwa hana upendo wote ili tuone ni fact kusema ulimwengu huu wenye mabaya umeumbwa na yeye
Au usema ni mwenye upendo wote halafu tukakosa reference ya kumhusisha na uumbaji wa ulimwengu
Mtu anaeweza yote katu haiwezekani kwake kutoweza chochoteKumbe ukiachana na sifa ya upendo wote ambayo inapingana na ulimwengu huu, kumbe pia hana uwezo wote
Wapi vitu vilienda vice versa akachukia?Hana uwezo wote wa kufanya vitu viende kama anavyotaka na ndio maana anachukia kuona vikienda vice versa kwasababu hana uwezo wakufanya mambo yaende kama anavyotaka
Kumbuka aliesuggest big bang theory alikua mkristo, na aliesuggest evolution alikua mkristo pia (sio Charles Darwin). Hii ni result ya ku think out of the box...Sisi tunaamini dunia imeumbwa. Wapi tumesema alitoka from nothing?
Hii pepo yenu ndio ile unapewa wanawake 70 na mito ya pombe kazi yako ni kulewa na kusex tu? Mbona ni kama danguro sasa[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mkuu ana Upendo
Upendo wake haulazimiki ku conform na matatarajio yako
Kaumba. Dunia unayoiona haipo perfect na kuna pepo huko ambako kila
Mwenye matamanio yake yatatimia
Umeelewa?
Poa.Chanzo kisichokua na chanzo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazingua
Poa.Kingine huyu scars Hana hasira kabisa Wala hajapanik japo unamkejeli na dhihaka za Kila aina hii nayo ni tofauti nyingine kati ya wafia dini na watafiti, wanadini mkishindwa na hoja ni jazba halafu matokeo yake kutukana [emoji23][emoji23] Kwa hili hata Mwenyezi Mungu anawashangaa
Naona huna hoja kijana, na hujawahi kuwa na hoja, zaidi ya kucheza na maneno. Unaanza kutengeneza mambo, subiri huyo mtu aje ambaye hajui kuhusu nyumba wala kuhisi.Mtu ambaye kasihi mazingira ambayo hakuna nyumba hakuna kitu chochote kinachoweza kumfanya apate ufahamu wa kujua nyumba
Mtu huyo ukija kumuonesha nyumba, atajuaje kuwa hii ni nyumba?