Atheists wana mtindio wa ubongo

The only problem is, even for theists, they haven't come to a conclusion of who the 'real' god is... everyone thinks all gods are stupid and made up except theirs. And for us atheists? We say you all are right on that!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana naye huyo hizo ni porojo za kitabu chao kama ni alete proof hapa.
 
Kama unajua dhambi ni nini, hata uovu pia utakua unajua.
Nakanusha, tetemeko haiwezkua linasababishwa na 'dhambi' znazofanywa na binadamu kwa mungu wako.
Ila kama unamaanisha uovu kama uzembe wa waandisi hapo nakubali. Na ndio maana wamefukishwa mahakamani. Nchi kama Japan wao wameadopt, majengo yao yako resistant to earthquakes... waandisi wao hawafanyi mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeeleza vizuri, ila nina mashaka na uelewa wako wa elimu ya kiroho.
 
Madhara ya tetemeko yanachangiwa vipi na uovu wa watu?

Halafu bado unashida ya uelewa

Unatengeneza hoja ambazo zinamfanya Mungu wako aonekane hayupo makini kwenye kazi zake

Kwasababu kama mwanzo anavyoumba ulimwengu hakujua kuwa dosari kwenye uumbaji wake utaoweza kusababisha mabaya kufanyika, basi typically hawezi kuwa mjuzi wa yote.

Au useme alijua kuwa ulimwengu huu sio perfect na unaweza kuruhusu mabaya at any time halafu akaamua kutorekebisha, maana yake huyu hawezi kuwa Mungu mwenye upendo wote.

Au labda ukajenga hoja kuwa hata yeye Mungu anachukia kuona ubaya yakifanyika, hapo utaonesha kuwa Mungu ame-lack some power ya kuweza kufanya ulimwengu uwe kama anavyotaka.
 
Mimi sijaandika tetemeko linasabishwa na dhambi. Rejea soma vizuri.
 
Universe is not fluid and displinary,it is chaotic.....therefore huelewi unachosema

Input can be "NOTHING" and "Nothing" scientifically is "Something"

Huyo Mungu wako umemtolea wapi?
 
Naam. Hoja yako Iko wapi ? Weka hoja ijadiliwe.

Suala la kubaka, kuuwa, na mengine katika maovu ameruhusu yatokee ila siyo kwamba anapenda. Allah ana mambo matatu katika ufanyaji wa mambo :

1. Mahaba(Love) Kuna vitu ana vipenda.
2. Matakwa (Want)
3. Mashia (Will)

Allah hapendi watu wateseke au wapotee au wafanye uovu, ila ameruhusu hivyo vyote vitokee kwa Matakwa yake. Na alitaka kitu kinakuwa hata kama hakipendi.

Suala la watu kufanya uovu ameruhusu utokee na ametoa onyo kwa watakao fanya wataadhibiwa sababu ni uovu, na Mimi na wewe tumepewa akili au tumeumbwa katika umbile la utambuzi wa zuri na baya. Kwa hiyo usifanye uovu kizembe Kisha ukabweteka ukasema si Allah ametaka, ukasahau ya kuwa muda huo huo amekupa akili na amekupa uwezo wa kuyaepuka mambo hayo.
 
Hiyo haiitwi mvua, ni sawa na sanamu la Sophia ukasema yule ni Mwanadamu. Muwe mnafikiria haya mambo kiundani siyo juu juu tu, kama mnavyo fanya nyinyi mnafikiri hii ni Falsafa, au Logic au Sayansi ukiamka tu unafikiria kitu Kisha mnaleta Assumptions kibao. Kwenye dini hakuna huo upuuzi, kwenye dini ni uhalisia tu.

Kingine akili ya mwanadamu Ina ukomo na kutojua kutowezekana kwa mambo Fulani huo ni wendawazimu mwingine, kwahiyo hao Wachina ni mazuzu wasio jua asili ya mvua, kama wale wanaotafuta dawa ya Kifo, huku hawajui hakika ya kifo na kwanini Kuna kifo, huu ni uzwa uzwa mwingine.
 
Inasema kua mungu aliangamiza dunia nzima kwa mvua?
Hadith znasema kua mtume alishika jua mkono mmoja na mwez mkono mwingine na kisha kuugawa kati?
Haya umeyapata wapi ? Ndiyo nasikia kwako, naomba unionyeshe umepata wapi hizi habari.
Sindio mnaamini jua linazama matopeni?
Hili lishajadiliwa zaidi ya mara Moja humu ndani. Shida yenu hampo kwa ajili ya kujifunza zaidi ya ubishani, ndiyo maana mnakuwa wajinga na wavivu wa kufikiri. Kitu msichokijua Qur'aan Ina aya nyingi za kuwahimiza watu wafikiri na kutafakari. Ukiona huilewi Qur'aan ujue wewe huzingatii na hufikiri kiundani kile kinachosemwa.
Unakubaliana nayo yote haya kweli...?
Hayo niliyo kuuliza umeyapata wapi siyajui mengine nakubaliano nayo. Sasa ni wajibu wako uniambie umeyapata wapi.
 
Universe is not fluid and displinary,it is chaotic.....therefore huelewi unachosema

Input can be "NOTHING" and "Nothing" scientifically is "Something"

Huyo Mungu wako umemtolea wapi?


Always, chaotic senses see things chaotically, however good an object may be a chaotic sense will visualize it chaotically.

An Excuse lays on your chaotic senses but not on the disciplinary consciously designed world, designed by an eternal conscious super being namely God.

Eti unauliza; Namtoa Mungu wapi??, na wewe Jiulize huyo aliyekuchagulia hiyo jinsia yako ni nani?? au kabla hujazaliwa wazazi wako waliweka kikao kupanga uwe na hiyo jinsia yako??, nani alikuchagulia hao wazazi wawe ni wako??, nani alipanga uzaliwe ukiwa na ngozi nyeusi kama mkaa??, ni nani alipanga uzaliwe Tz katika kijiji hicho nk??, wewe unadhani mambo hayo yote yalikuja chaotically (by chances)??, for your information it was the game of chess which was put in place and not the game of chance.
 
Haya tuambie wewe kama sio mvua inaitwa nini?

Ili utengeneze binadamu basi kupitia Cloning na anakuwa binadamu aliye kamilika.

Nao sio binadamu?
 
It's by chance/ randomnesss

Hatuchagui wazazi ila pia wazazi hawatuchagui.

The universal law ndio inayo govern kila kitu kwenye huu ulimwengu.

Ni vinasaba utakavyorithi toka kwa watu wawili walipokutana in randomness ila wakaamua kuzagamuana ndio ukatokea kenge wewe.

Ila kiukweli ulimwengu ni chaotic kama alivyosugest mdau.
 
Seeing is believing ah?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…