Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

God, Whatever the name you call Him, still It doesn't close the door for Him being the creator of the universe, nothing which operates any function in a disciplinary manner is NEVER made/created, unless you exhibit with evidence that the world/universe as a whole is not in a disciplinary function then I wii no longer entertain the belief of God existence, in any disciplinary function there MUST be an input which must be put in-place by something, no cause without effect and that is not a Mokaze law rather the universal law.

(You atheists) Your problem and ailment in your heads come whenever the name "God" is mentioned parallel with creation and nothing else. You become furious and madly run amok like weed smokers whenever word "God" infiltrates your ears.
The only problem is, even for theists, they haven't come to a conclusion of who the 'real' god is... everyone thinks all gods are stupid and made up except theirs. And for us atheists? We say you all are right on that!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okayy... quran inasema kua mungu ndie anashusha mvua?
Inasema kua mungu aliangamiza dunia nzima kwa mvua?
Hadith znasema kua mtume alishika jua mkono mmoja na mwez mkono mwingine na kisha kuugawa kati?
Sindio mnaamini jua linazama matopeni?

Unakubaliana nayo yote haya kweli...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana naye huyo hizo ni porojo za kitabu chao kama ni alete proof hapa.
 
Kama unajua dhambi ni nini, hata uovu pia utakua unajua.
Nakanusha, tetemeko haiwezkua linasababishwa na 'dhambi' znazofanywa na binadamu kwa mungu wako.
Ila kama unamaanisha uovu kama uzembe wa waandisi hapo nakubali. Na ndio maana wamefukishwa mahakamani. Nchi kama Japan wao wameadopt, majengo yao yako resistant to earthquakes... waandisi wao hawafanyi mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisheni kati ya kanuni za maandishi
Ila mungu au Mungu kwenye matamshi hakuna tofauti.

Ni kweli ulio wazi unapotamka na kuandika Mungu basi ni nafsi ya kwanza umoja
Miungu wingi.
Wakiwa wengi ni Miungu.

Hapa haijalishi sifa za huyo unayemsemea
Umeeleza vizuri, ila nina mashaka na uelewa wako wa elimu ya kiroho.
 
Kutoeleweka kwa jambo kunatokana na sababu nyingi, ikiwemo ya kutoeleweka maelezo yake. Ni mawili, huenda sikuelewa au hukueleweka.

Tetemeko ni asili (nature) halitokani na matendo yetu. Ila madhara ya tetemeko la Uturuki na Siria ni matokeo ya uovu wa binadamu.

Tetemeko liliathiri kazi ya mikono ya binadamu bila kuathiri milima na mabonde ambavyo havijengwa na binadamu. Ndiyo maana makandarasi wao wako hatiani.
Madhara ya tetemeko yanachangiwa vipi na uovu wa watu?

Halafu bado unashida ya uelewa

Unatengeneza hoja ambazo zinamfanya Mungu wako aonekane hayupo makini kwenye kazi zake

Kwasababu kama mwanzo anavyoumba ulimwengu hakujua kuwa dosari kwenye uumbaji wake utaoweza kusababisha mabaya kufanyika, basi typically hawezi kuwa mjuzi wa yote.

Au useme alijua kuwa ulimwengu huu sio perfect na unaweza kuruhusu mabaya at any time halafu akaamua kutorekebisha, maana yake huyu hawezi kuwa Mungu mwenye upendo wote.

Au labda ukajenga hoja kuwa hata yeye Mungu anachukia kuona ubaya yakifanyika, hapo utaonesha kuwa Mungu ame-lack some power ya kuweza kufanya ulimwengu uwe kama anavyotaka.
 
Nakanusha, tetemeko haiwezkua linasababishwa na 'dhambi' znazofanywa na binadamu kwa mungu wako.
Ila kama unamaanisha uovu kama uzembe wa waandisi hapo nakubali. Na ndio maana wamefukishwa mahakamani. Nchi kama Japan wao wameadopt, majengo yao yako resistant to earthquakes... waandisi wao hawafanyi mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijaandika tetemeko linasabishwa na dhambi. Rejea soma vizuri.
 
God, Whatever the name you call Him, still It doesn't close the door for Him being the creator of the universe, nothing which operates any function in a disciplinary manner is NEVER made/created, unless you exhibit with evidence that the world/universe as a whole is not in a disciplinary function then I wii no longer entertain the belief of God existence, in any disciplinary function there MUST be an input which must be put in-place by something, no cause without effect and that is not a Mokaze law rather the universal law.

(You atheists) Your problem and ailment in your heads come whenever the name "God" is mentioned parallel with creation and nothing else. You become furious and madly run amok like weed smokers whenever word "God" infiltrates your ears.
Universe is not fluid and displinary,it is chaotic.....therefore huelewi unachosema

Input can be "NOTHING" and "Nothing" scientifically is "Something"

Huyo Mungu wako umemtolea wapi?
 
Yaani wewe unaamini "mvua" zinajengwa na "mungu"?

hujui mvua zinajijengaje scientifically?hakuna cha sijui "religious intervention" and shit like that...

Kama ni hivyo basi arbitrarily kila tukio kwenye universe halitokei bila huyo "mungu" kulifanya sasa...

Hadi kubaka,kuua,kusema uongo,ufiraji,wizi,kupiga watu mapanga,etc ni yeye responsible basi!
Naam. Hoja yako Iko wapi ? Weka hoja ijadiliwe.

Suala la kubaka, kuuwa, na mengine katika maovu ameruhusu yatokee ila siyo kwamba anapenda. Allah ana mambo matatu katika ufanyaji wa mambo :

1. Mahaba(Love) Kuna vitu ana vipenda.
2. Matakwa (Want)
3. Mashia (Will)

Allah hapendi watu wateseke au wapotee au wafanye uovu, ila ameruhusu hivyo vyote vitokee kwa Matakwa yake. Na alitaka kitu kinakuwa hata kama hakipendi.

Suala la watu kufanya uovu ameruhusu utokee na ametoa onyo kwa watakao fanya wataadhibiwa sababu ni uovu, na Mimi na wewe tumepewa akili au tumeumbwa katika umbile la utambuzi wa zuri na baya. Kwa hiyo usifanye uovu kizembe Kisha ukabweteka ukasema si Allah ametaka, ukasahau ya kuwa muda huo huo amekupa akili na amekupa uwezo wa kuyaepuka mambo hayo.
 
Allah anapanga mvua inyeshe? Mbona Saudi 'wanalima' mvua? Ivo wanatengeneza mvua yao wenyewe. How artificial rain can make a difference to Saudi Arabia and Gulf region’s water situation

Wachina pia wana teknolojia ya kuzuia mvua isinyeshe...

Sisi bongo tunakalia tu kukesha kwenye nyumba za ibada kumuomba huyo imaginary god atuletee mvua, sjui apunguze njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo haiitwi mvua, ni sawa na sanamu la Sophia ukasema yule ni Mwanadamu. Muwe mnafikiria haya mambo kiundani siyo juu juu tu, kama mnavyo fanya nyinyi mnafikiri hii ni Falsafa, au Logic au Sayansi ukiamka tu unafikiria kitu Kisha mnaleta Assumptions kibao. Kwenye dini hakuna huo upuuzi, kwenye dini ni uhalisia tu.

Kingine akili ya mwanadamu Ina ukomo na kutojua kutowezekana kwa mambo Fulani huo ni wendawazimu mwingine, kwahiyo hao Wachina ni mazuzu wasio jua asili ya mvua, kama wale wanaotafuta dawa ya Kifo, huku hawajui hakika ya kifo na kwanini Kuna kifo, huu ni uzwa uzwa mwingine.
 
Inasema kua mungu aliangamiza dunia nzima kwa mvua?
Hadith znasema kua mtume alishika jua mkono mmoja na mwez mkono mwingine na kisha kuugawa kati?
Haya umeyapata wapi ? Ndiyo nasikia kwako, naomba unionyeshe umepata wapi hizi habari.
Sindio mnaamini jua linazama matopeni?
Hili lishajadiliwa zaidi ya mara Moja humu ndani. Shida yenu hampo kwa ajili ya kujifunza zaidi ya ubishani, ndiyo maana mnakuwa wajinga na wavivu wa kufikiri. Kitu msichokijua Qur'aan Ina aya nyingi za kuwahimiza watu wafikiri na kutafakari. Ukiona huilewi Qur'aan ujue wewe huzingatii na hufikiri kiundani kile kinachosemwa.
Unakubaliana nayo yote haya kweli...?
Hayo niliyo kuuliza umeyapata wapi siyajui mengine nakubaliano nayo. Sasa ni wajibu wako uniambie umeyapata wapi.
 
Universe is not fluid and displinary,it is chaotic.....therefore huelewi unachosema

Input can be "NOTHING" and "Nothing" scientifically is "Something"

Huyo Mungu wako umemtolea wapi?

Always, chaotic senses see things chaotically, however good an object may be a chaotic sense will visualize it chaotically.

An Excuse lays on your chaotic senses but not on the disciplinary consciously designed world, designed by an eternal conscious super being namely God.

Eti unauliza; Namtoa Mungu wapi??, na wewe Jiulize huyo aliyekuchagulia hiyo jinsia yako ni nani?? au kabla hujazaliwa wazazi wako waliweka kikao kupanga uwe na hiyo jinsia yako??, nani alikuchagulia hao wazazi wawe ni wako??, nani alipanga uzaliwe ukiwa na ngozi nyeusi kama mkaa??, ni nani alipanga uzaliwe Tz katika kijiji hicho nk??, wewe unadhani mambo hayo yote yalikuja chaotically (by chances)??, for your information it was the game of chess which was put in place and not the game of chance.
 
Hiyo haiitwi mvua, ni sawa na sanamu la Sophia ukasema yule ni Mwanadamu. Muwe mnafikiria haya mambo kiundani siyo juu juu tu, kama mnavyo fanya nyinyi mnafikiri hii ni Falsafa, au Logic au Sayansi ukiamka tu unafikiria kitu Kisha mnaleta Assumptions kibao. Kwenye dini hakuna huo upuuzi, kwenye dini ni uhalisia tu.

Kingine akili ya mwanadamu Ina ukomo na kutojua kutowezekana kwa mambo Fulani huo ni wendawazimu mwingine, kwahiyo hao Wachina ni mazuzu wasio jua asili ya mvua, kama wale wanaotafuta dawa ya Kifo, huku hawajui hakika ya kifo na kwanini Kuna kifo, huu ni uzwa uzwa mwingine.
Haya tuambie wewe kama sio mvua inaitwa nini?

Ili utengeneze binadamu basi kupitia Cloning na anakuwa binadamu aliye kamilika.

Nao sio binadamu?
 
Always, chaotic senses see things chaotically, however good an object may be a chaotic sense will visualize it chaotically.

An Excuse lays on your chaotic senses but not on the disciplinary consciously designed world, designed by an eternal conscious super being namely God.

Eti unauliza; Namtoa Mungu wapi??, na wewe Jiulize huyo aliyekuchagulia hiyo jinsia yako ni nani?? au kabla hujazaliwa wazazi wako waliweka kikao kupanga uwe na hiyo jinsia yako??, nani alikuchagulia hao wazazi wawe ni wako??, nani alipanga uzaliwe ukiwa na ngozi nyeusi kama mkaa??, ni nani alipanga uzaliwe Tz katika kijiji hicho nk??, wewe unadhani mambo hayo yote yalikuja kwa chances??, for your information it was the game of chess and not the game of chance.
It's by chance/ randomnesss

Hatuchagui wazazi ila pia wazazi hawatuchagui.

The universal law ndio inayo govern kila kitu kwenye huu ulimwengu.

Ni vinasaba utakavyorithi toka kwa watu wawili walipokutana in randomness ila wakaamua kuzagamuana ndio ukatokea kenge wewe.

Ila kiukweli ulimwengu ni chaotic kama alivyosugest mdau.
 
Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita

Ila ulichosahau ni kitu kimoja

Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.

Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.

Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo

Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibitishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa

Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.

Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya endapo akifundishwa.

Sasa

Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?

Tunaweza tukathibitisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio uthibitisho wa Mungu asiyepimika?

Lakini pia

Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu ni mzuri?

Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora

Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Seeing is believing ah?
 
Back
Top Bottom