Atheists wana mtindio wa ubongo

Maana ya mvua nishaitoa huko mwanzo. Kadhalika na vigezo vyake.

Roho ni nini ? Maana nyinyi kawaida yenu kujibu au kujenga hoja pasi na Elimu. Ndiyo maana huwa mnakosea sana katika kujenga hoja, kuuliza maswali na kutafuta ukweli. Umejuaje hakuna Roho kwenye mwili.

Siifahamu nipe faida kuhusu jambo hilo la Human Cloning.

Unamaanisha unaposema Carbon based living Organisms.
 
Hapa naona umetumia mkono wake ajipige makofi mwenyewe.
Shida yenu hamsomi, soma nilicho muuliza na nimempa kazi akafute ule uongo alio uandika huko mwanzo. Sababu hizi aya alizo ziweka zinaonyesha uongo wake wa wazi. Sababu mpaka muda hajajibu nilichomjibu kuhusu hizo aya, akirudi mwambie akutag.

Huwa sipendi watu wazembe kama nyinyi, watu ambao kila mnachoandika mnakosea na kuandika uongo. Kusoma hamsomi mkisikia basi mnaketa huku. Huu ni upunguwani Sasa hizo akili mnazitumia kwenye nini.
 
Umeandika mambo mengi sana, kwanza hongera kwa namna uliyotaka kutwist kupata hoja yako.

Ila tukisema ulimwengu ni chaotic basi tambua tunagusa vitu vingi kuliko human ambaye ni insignificant living organism kwenye sayari moja kati ya mabilioni.

Ulimwengu upo chaotic kiasi kwamba Kuna robo sekunde Kuna Nyota zinazaliwa, Kuna Nyota zinakufa, Kuna Solar flares, big bang inatokea somewhere, big crunch, randomly movement of asteroids.

Kuwepo kwa Natural laws ambayo inaelezea pattern Fulani hakufanyi na kuthibitisha uwepo wa Mungu Bali kunathibitisha usahihi wa Sayansi na mambo yanayoyaelezea.

Kuelewa Nuclear physics inavyofanya kazi hakuthibitishi jua kuwa limetengenezwa na Mungu bali inadhihirisha jinsi sayansi ilivyo sawa.
Energy ilivyokuwa created kwenye jua inakwenda kinyume na Thermodynamics laws na Law of Conservation of energy?
Point yako ni ipi?

Binadamu wote wanafata Natural instinct kama wanyama wengine wanavyofanya maana Binadamu Hana uspecial wowote ni mnyama sawa na Mbuzi tu.

Kuwa discipline hata Simba anakuwa trained na kuchezeshwa kwenye Circus, Mbwa je?

Wewe umekaririshwa toka mtoto na ukayaamini kuwa kila kitu ni Mungu ambaye hayupo, hajawahi kuwepo na hatokuwepo kwa sifa mnazomwelezea.
 
Logic haijawahi kuwa na outcome ya uongo

Huo mfano wako uliowekea hapo kwenye logic haupo, upo kwenye illogic

Kuna logic na kuna illogic, hivi viwili unatakiwa ujue kuvitofautisha.

Kwa hiyo bila logic hakuna ukweli, kila kilicho kwenye ukweli lazima kifungamane na logic plus consistency

********************†******************

Historical facts zipi zinazoelezea habari za Mungu?

Unaweza kuziweka hapa tuzijadili?
 
Sijasema kuhusu kukufikisha kwenye uongo, Mungu anayeongelewa ni True God (Mungu mmoja). Imani usichanye zipo imani nyingi. Imani ya Mungu mmoja inajipambanua vyema.
Kwanini kuwe na imani nyingi kama imani husema yale yaliyo kweli?

Kukiwa na million of claims kuwa Mungu yupo kwa imani, hiyo itaonesha kuwa madai hayo yote ni kweli?
 
Unadhani haya nayo yasema na kuandika nimepata shuleni..? Najua kwa kuwa tofauti na wewe, na hakika si kwa uwezo wala utashi wangu maana najibu si kwa ufahamu wangu pekee .
Umeyapata kutoka kwenye mafundisho ya dini yako

Hiyo ni kama motto mliyofundishwa au defense mechanism ya kuficha uongo kukwepa jukumu la kuthibitisha madai yako.

Au unafikiri wewe ni wakwanza kusema hivyo humu?

Hata yule ambaye mnapingana kiimani naye anaweza kutuambia hivi hivi kuwa Mungu wake kampa neema ya kumjua, so what's the point?
 
Hakuna roho ni jambo la kufikirika tu.
Ni Imani na hakuna uthibitisho wowote uwe wa kimazingira Wala kisayansi.

Na hii inapingwa zaidi na cloning technology ilivyozuidi kukua, kwamba single cell ya ngozi yako Ina taarifa zote kuhusu mwili wako na inaweza developed mpaka ukatokea your identical with the same genotype and phenotype.
 
Binadamu wote wanafata Natural instinct kama wanyama wengine wanavyofanya maana Binadamu Hana uspecial wowote ni mnyama sawa na Mbuzi tu.


Pamoja na mengine yote uliyoyaandika hilo hapo ndilo limenifanya nijue uwezo wazo kiakili.

Ushauri wangu; Unapaswa ukae ujifunze kwa kina ndipo uingie katika ulingo wa hoja.
 
Uwe unajibu maswali unayoulizwa. Roho ni nini ?

Type mfano ila usihusishe mbegu za uzazi katika Hilo zoezi, mbegu za uzazi zikihusika ujue hapo hakuna shughuli.

Kingine utoe mfano hata mmoja wa Human Cloning iliyo fanyika.
 
Pamoja na mengine yote uliyoyaandika hilo hapo ndilo limenifanya nijue uwezo wazo kiakili.

Ushauri wangu; Unapaswa ukae ujifunze kwa kina ndipo uingie katika ulingo wa hoja.
Kwa mtazamo wako
Ila huu ndio ukweli mchungu.

Homo Sapiens (Binadamu) ni ndio species tuliopo na kingdom Mammalia.

Ambao sifa mojawapo ni kunyonyesha ikiwa ni kundi Moja na Mbuzi, Ng'ombe na Panya.

Binadamu kinachomtofautisha na wengineo ni uwezo mkubwa wa akili.

Lakini imegundulika Pweza ni mmoja wa non primates wenye uwezo mkubwa wa akili.

Mbwa ana uwezo wa akili sawasawa na mtoto wa miaka mitano(5).

Hivyo binadamu sio pekee walio evolve na hiki kitu.

Kifupi unahitaji ujifunze mengi kabla hujaja na mtizamo mmoja ulioandikwa kwenye zama za ujinga kuwa ndio kweli pekee.
 
Uwe unajibu maswali unayoulizwa. Roho ni nini ?

Type mfano ila usihusishe mbegu za uzazi katika Hilo zoezi, mbegu za uzazi zikihusika ujue hapo hakuna shughuli.

Kingine utoe mfano hata mmoja wa Human Cloning iliyo fanyika.
Hakuna Roho kabisa
Kama kitu hakipo basi hakina maelezo ya maana ila kama itakupendeza soma hapo chini:

Ni Imani/myth za watu tu kutokana na maendeleo duni ya sayansi kipindi Cha kale.

Nimekwambia Human Cloning Teknoloji/ science uhitaji manii ili kuundiwa kiumbe kingine.

Na hii sio kwa Humans tu, species nyingine zinafanya Asexual reproduction toka kitambo.

Seli yako Moja toka kwenye ngozi yako ya mwili unaweza kutengenezwa mtu mwingine mwenye phenotype na genotype kama wewe.

Sasa kama haya hufahamu nikuite jina gani maana unajifanya una elimu sana.
 
Japan wanaweza kupredict tetemeko... haya sasa... mambo ya kujua kesho ni mpaka tujue what time is, zile theory za time traveling bado naona ni bs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio mtume aliugawa mwezi vipande viwili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Eti binadamu anaendeshwa na instinct kama mbuzi??-- hivi nikikuambia akili yako kwa mambo uliyoyaandika ni sawa na akili ya mbuzi utakubali ??
 
Eti binadamu anaendeshwa na instinct kama mbuzi??-- hivi nikikuambia akili yako kwa mambo uliyoyaandika ni sawa na akili ya mbuzi utakubali ??
Kuamini katika higher power nayo ni kama instinct... inategemea tu instinct utadefine vp
Kuna anaefundisha mtoto mchanga kunyonya? Hio nayo ni instinct... vitu kama uoga wa nyoka ni moja kati ya human instinct (na tembo wana huu uoga ie. Extreme fear of snakes), fear, hunger, lust, care hizi zote ni instinct za binadamu, hakuna mtu anafundisha hivi vitu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dolphins na nyangumi pia wana wanauwezo mkubwa wa kufikiri na kutunza kumbukumbu, zaid hata ya mbwa. Wengine wanasema kua Dolphins wanaakili kuliko hata chimps...

On the other hand... cheki chimpanzees walivo wanauwezo waku kariri kuliko hata binadamu:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana sikutaka kumjibu mkuu
Nashukuru umedadavua vizuri zaidi
Mwambie hata mtoto akiwa mdogo kila kitu hupeleka mdomoni.

Muulize na hiyo aiite nini?
 
Ndio maana sikutaka kumjibu mkuu
Nashukuru umedadavua vizuri zaidi
Mwambie hata mtoto akiwa mdogo kila kitu hupeleka mdomoni.

Muulize na hiyo aiite nini?
Yea. Every other creature is driven by instincts. Sema ni ile tu sie binadamu tumeevolve higher intelligence kwahio si kila kitu tunafanya kwa instinct.
Orcas (killer whales) pia nao hata kuhunt hawafanyi kwa instincts. Wanatambua kiumbe gan wanadeal nae. Wanaplot mipango namna ya kumuwinda kisha wanafanya, it's very interesting to see.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa Kutoa heshima kwa wakuu wawili ambao ni Scars na Kiranga kwa maana ni wajuvi kuliko Mimi.

Wazee wa logic ila nawaheshimu sana.

Wrudate kentushcy kwa uwezo wako.

Mtu anakwambia mapipa yanamwaga sijui na nani aliyepewa sifa ya kiumbe halafu Kuna maeneo ya Dunia hii hii mvua hunyesha kila baada ya miaka 5.

Unajiuliza Ina maana ana upendeleo?
Ukikumbuka sifa zake wanazotoa unabaki kucheka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…