Atheists wana mtindio wa ubongo

Mungu aliumba kila kitu kwa ubora wake.
Ni kwa sababu zipi unasema kuna imperfections?
Hizo imperfections zimesabishwa na nani?
Je, anataka dunia ingekuwa vipi ili uone haina kasoro?
 
Mungu aliumba kila kitu kwa ubora wake.
Ni kwa sababu zipi unasema kuna imperfections?
Hizo imperfections zimesabishwa na nani?
Je, anataka dunia ingekuwa vipi ili uone haina kasoro?
Imperfections zinazojadiliwa hapa ni ulimwengu kuwa na uwezekano wa kuruhusu mabaya kuwepo

Mungu angeumba ulimwengu ambao ni perfect basi mabaya yasingewezekana kwa namna yeyote ile
 
Nimekuomba uweke ushahidi siyo mbinu, inabidi tuanze kuelezana Sasa nini maana ya Ushahidi.

Kijana kila unachokiweka kinazua mjadala. Jikoiye kwenye hoja na uweke kila kitu mahala pake. Mifano unayo toa haina maana sababu si mahala pake.
 
Hujaelezea Roho ni nini, soma vizuri utaona. Kama hamjajiandaa hii mijadala achaneni nayo.

Hata uwe na miaka 60, kama huna Elimu wewe Bado kijana na ni mtoto tena huenda hata balehe ya kwanza ya kielimu hujapata.

Usiniulize maswali hayo, nimemwambia mtoe mfano wa Human Cloning Kisha tujadili.

Roho ni nini ? Hili ndiyo swali langu.
 
Bado swali langu hujajibu. Hivi huwa unatoa hivi maana ya vitu unavyo vijua ? Ngoja nikusaidie, waulize wenye kuamini au kujua roho wakupe maana.

Sasa hakuna vipi na hujui maana ya Roho.

Kama nabisha tena. Huu utoto una uleta.

Sasa soma hapa kuhusu Roho, Kisha ujifunze watu wanavyotoa maana ya kitu au vitu.

Naanzia hapa.

Katika mambo makubwa mno yenye kuwatatiza watu tangu dunia inaumbwa ni hili jambo kuhusu ROHO.

Wamepita Wanafalsafa wa kale na wa sasa, Wanasayansi wa zamani na wasasa, watu wa dini, na wasio kuwa hao katika kuelezea Roho ni nini, hatimae wamekuja na mitazamo mingi yenye kutatiza watu na isiyokuwa na ithibati wala hakika yoyote.

Lakini hao wote mpaka Wakana Mungu ( Atheists) wakakubaliana ya kuwa KIFO ni ule muda ambao maisha hukoma kwa kiumbe, au Roho kuacha mwili. Suala la Roho limebaki kuwa jambo lililo fichikana kuhusu hakika yake na undani wake, na Mola wetu hakutoa elimu juu ya Roho isipokuwa kidogo mno, na jambo hili limebaki kwake kwa mapana yake.

Mola wetu anasema katika Qur'aan, juu ya ukweli kuhusu ROHO.

85. Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo. (Israa : 85)

Hii inaonyesha ya kuwa suala la elimu juu ya Roho ni elimu kubwa mno na sisi tumepewa elimu ndogo sana juu ya ROHO na jambo hili linabaki kuwa kwake Mola wetu kwa undani wake.

Kama hali iko hivi, ni nini Roho ? Ni zipi sifa zake? Ni zipi tabia zake na ni upi uwezo wake ? Maswali haya watu hujiuliza sana.

Katika Elimu hiyo ndogo tuliyopewa na Mola wetu, tunaipata kutoka katika vyanzo vya uhakika na kuaminika ya kuwa, Roho ni kitu kisicho onekana, chenye mafungamano ya moja kwa moja na mwili.

Lakini Roho hiyo ina sifa kadhaa kwazo huwa tunazitumia kuelezea vitu vyenye kushikika (Tangible things), kama vile hupulizwa na Malaika kuupa mwili uhai na hutolewa kipindi mja anapokufa, hukutana na kuzungumza.

Mwili unakufa ila Roho haifi, roho hubaki milele. ROHO ni katika vile viumbe ambavyo vina mwanzo ila havina mwisho.

Huu ndiyo ukweli kuhusu ROHO kwa ufupi.

Zingatia : Wasomi wakubwa na wahakiki wa mambo, wametofautiana juu ya Roho na Nafsi, ya kuwa je ni kitu kimoja au ni vitu viwili vyenye kutofautiana. Wapo walio sema ya kuwa Roho na Nafsi ni vitu viwili tofauti na kutofautiana kwake hulingana na muktadha wa hali, wengine wakasema ya kuwa Nafsi ni mjumuiko kati ya Roho na Mwili, na wapo waliosema ya kuwa Roho ni Nafsi na Nafsi ni Roho
 
Mungu hatetewi na mwanadamu, na sio Mungu aliyewadhibu. Wameadhibiwa na dhambi zao.

Sio kazi ya Mungu kukuzuia kutenda uovu, bali ni akili zako kuzingatia makatazo.

Si kazi ya Mungu kukuzuia usinywe sumu, la hasha. Ukinywa hakika utakufa, na si Mungu aliyekuua, bali ni sumu.

Sio kazi ya Mungu kukuzuia kuchoma moto nyumba yako, la hasha. Nyumba itashika moto na kusabisha maafa, na aliyesabisha maafa sio Mungu bali ni wewe.

Mungu hahusiki na yotokanayo na ouvu wa binadamu kwani bado hajatoa hukumu.
 
Imperfections zinazojadiliwa hapa ni ulimwengu kuwa na uwezekano wa kuruhusu mabaya kuwepo

Mungu angeumba ulimwengu ambao ni perfect basi mabaya yasingewezekana kwa namna yeyote ile
Bado hujajibu maswali ya post # 1021. Nasuburi majibu.
 
Ushahidi wa Mungu kuumba dunia na vingine uko wapi kama yeye alitoka from nothing kwanini sisi isiwe ivo?
Hiyo nothing ndo usikute ndo Mungu mwenyewe sasa....wewe hata ukiamini tumetoka kwenye nothing.....hiyo nguvu iliyosababisha hiyo nothing ikakutoa wewe ndo Mungu mwenyewe...

Kila kitu kina chanzo..hata wanasayansi wamekuja na theories mbalimbali za chanzo cha mwanadamu..(Evolutions)...Wanahistoria wanadai tumetoka kwenye nyani..lkn hawasemi hao nyani walitokana na nini...

Mungu yupo ingawa inaweza assiitwe Mungu..wengine energy...n.k..lkn that source ndo Mungu mwenyewe

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 


Si ndio hicho ninachosema; kunapokuwepo na intelligence na consciousness hapo instincts zote zinakuwa governed na vitu hivyo viwili na hapo binadamu anakuwa haongozwi na instincts kama walivyokuwa wanyama, halafu ndipo inakuja morals, intelligence inajenga morals.

Hao octopus?? Wanaweza kuwa na intelligence kwa kiasi chao lakini hawawezi kuwa na morals kwani Morals inaendana na wajibu.

Mfano; Unapomkuta mtu (binadamu mwenzako) kaumia na wewe kama unayo nafasi ya kumsaidia akili (intelligence) itakutuma umsaidie hapo unakuwa umeshikwa na huruma (Moral) na unamsaidia ukijua labda ipo siku naye atakusaidia au Mungu atakulipa (obligation/wajibu).
 


Nyie mmeleta mfano wa mtoto kunyonya ziwa la mama yake, an infant whose intelligence is not developed, na hapa hatuzungumzii juu ya watoto bali tunazungumzia juu ya grown ups, the fully developed intelligence, na wanyama ni fully developed animals.
 
Eti sio kwamba anapenda..

Huyo mungu wako mbona ana uwezo mdogo hivyo kama mwanadamu?

Yaani mungu anaebadili mawazo na asie in control of things,just like us humans!


Yaani nyie wanadamu,mumeamua kujifikiria mwanadamu kama nyie mka-project those charcteristics mkajijengea mwanadamu fictional mkampa jina Mungu

Wapumbavu sana nyie,hasa wewe...


Eti "sio kama anapenda"....which shows he is not in control of anything!Useless kama nilivyo mimi na wewe!
 

Siwezi kujadiliana na wewe kwa sababu zifuatazo :

1. Mjinga

2. Mpumbavu mfano hakuna sehemu nimeandika "sio kama anapenda". Kama kunukuu ibara unashindwa, utaweza vipi kuwa na hoja za kujadiliana na Mimi.

3. Huna hoja

4. Huna adabu

5. Humjui Mola

Siku usipokuwa na hayo matano hapo juu nistue tujadili kwa hoja. Kingine kajifunze maana ya tamko "Mpumbavu" uweze kulitumia vizuri.

Nasubiri wenye hoja nijadiliane nao. Sijadiliani na wapumbavu kielimu.
 
Ushahidi ulio utoa bado unaonyesha hakuna aijuaye kesho. Athari ya Tetemeko la ardhi ilianza kuonekana kama walivyo andika, wakatoa tahadhari juu ya uwepo wa Tetemeko kubwa watu wajiandae.

Kwahiyo bado hakuna aijuaye kesho, hata wewe ulipo huna uhakika wa asilimia zote wa kuiona kesho, na ukiipata kesho ujue hukuwa ametaka Allah. Bali sisi uhalisia ni kuwa tuna matarajio.
 
Swala la kujua kesho hayo ni mambo ya time. Kisayansi we still have a long way to go to understand how time works. Kwahio hatuez kuona kesho au kurudi jana na kurekebisha makosa.
Na no, huyo allah wako hanipangii kitu chochote....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliohusika na dhambi ndio waliokufa?

Watoto wachanga nao wakiwemo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…