"...hamna cha sayansi wala nini maana wanaenda kwa kuamini kitu ambcho hawajawahi kukishuhudia..."
Uchunguzi wa panya ulifanywa ( ni marekan nafkir). Wamegundua kua panya wanaoishi karibu na binadamu,in a span of 200 walidevelop ubongo mkubwa zaid. Hii ni kutokana na fact kua binadamu wanajaribu kuwaua panya kwa mitego, so wale waliokua smarter kutegua mitego ndio walisurvive na kuzaliana. Kwa sasa panya wanaoishi na binadamu wana ubongo mkubwa zaid on average, kulinganisha na wale wa pori. Proof of evolution.
Baadhi ya species za ndege zimeonekana kupungua wing span tokea magari yalivoanza kutumika kwa wingi. Kama unajua ndege znavofanya kaz utaelewa kua mabawa marefu inamaanisha less maneuverability. Kwhy wenye mabawa marefu wakawa wana collide na magari wanakufa so default ikawa short wingspan. Evolution!
Na ulishawahi kujiuliza how comes kuna breed tofauti za mbwa, kuku, bata etc...? Na unajua kua mbwa na wolf ni species moja ie. Canis lupus? (Mbwa ni subspecies ya wolf ie canis lupus familiaris).
Hizi breeds za mbwa mfn. GSD, pitbull, chihuahua etc. Zimetengenezwa kwa "selective breeding". Same goes kwa breeds za kuku mfn, kuku wa nyama, kuku wa mayai etc... "SELECTIVE BREEDING" ni binadamu wanatengeneza ila ikitokea kwenye nature inaitwa "NATURAL SELECTION", ambayo ndio Charles Darwin aliitumia kuelezea..... EVOLUTION!!
SURPRISE!! SURPRISE!! We have proof of evolution hizi ni kdg tu, lol
Sent using
Jamii Forums mobile app